Kazi ya mchepuko ni kubwa sana. Imewafariji kipindi wakiwa na stress, wafikiriwe kwa kweliHao wasilipwe Kwa sababu wanatumia viungo vya miili yao vibaya. Haiwezekani viungo vya Uzazi wanavitumia Kibazazi. Nasemaje michepuko isilipweee[emoji3]
Kabisa. Sisi ukitupiga banzi la kushoto tunakugeuzia na la kulia ili nalo ulikande[emoji3]hamna baya hata kwa wabaya [emoji28]
mnasonga kwa shangwe na vigelelele.
Safi sana hiyo
Demi,viungo vya Uzazi viheshimiwe tafadhali. Kazi yake ni kuzaa Tu. Watafute faraja nyingine,mbona zipo faraja nyingi tu[emoji3]Kazi ya mchepuko ni kubwa sana. Imewafariji kipindi wakiwa na stress, wafikiriwe kwa kweli
Duh 😳 !! Ubaya wa pesa hata ukipata ngapi na tayari unazo ngapi bado utaona hazitoshi tu !WATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi.
Lakini ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali zaidi kuchochea maendeleo ya nchi yetu kwa kuwalipa na watoto wa viongozi wa taifa letu tukufu.
Watoto wa Marais Walipwe.
Watoto wa Makamu wa rais Walipwe.
Watoto wa Spika wa bunge walipwe
Watoto wa Waziri Mkuu walipwe!
Watoto wa Jaji Mkuu walipwe.
Watoto wa Ma-IGP walipwe.
Watoto wa Wakurugenzi wakuu wa TISS walipwe.
Wapewe Mishahara hata milioni moja au mbili au tatu hivi kwa mwezi. Hayo ndio maendeleo.
Wazazi wao wanatumikia nchi hilo nani atabisha? Wazazi wao wanatumia muda mwingi nje ya familia zao na kuhangaikia nchi, nani anabisha? Wazazi wao wanatukanwa na wananchi wakati mwingine bila kosa nani anabisha?
Walipwe! Walipwe! Tuwalipe! Kodi ni zetu na wao ni viongozi wetu. Tunafurahi wakilipwa. Sisi tutawatumikia kama wao wanavyotutumikia ili kuiendeleza nchi.
Watoto wa viongozi jiandaeni. Tutawalipa kila mwezi.
Ni bora tuwalipe tuu kuliko mjilipe wenyewe kwa kificho. Hata tusipowalipa tunajua mtajilipa kivyovyote tuu.
Muswada upelekwe bungeni, kisha upitishwe. Watoto nao walipwe.
Ambao hawataki wahame nchi.
Tusiishie kuwalipa Wenza wao(waume na wake zao) twendeni mbele zaidi. Tuwe na jicho la mbali kama tai.
Mimi nimemaliza, hayo ni mawazo yangu. Kama hutaki hayo ni mawazo yako na kwangu sio shida.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Duh 😳 !! Ubaya wa pesa hata ukipata ngapi na tayari unazo ngapi bado utaona hazitoshi tu !
Wenye ambao pesa akipata zinatosha ni wale wenye mioyo safi waliopata rehema za Mungu !! Ambao ndio pia huwa wanakuwa na peace of mind !! 🙏🙏
Halafu wapo wengi Sana. Ni Kama Walimu Tu. Hao wazalishe Kodi ili ziwasitiri wakubwa. Over![emoji3]Hawa kwanza hawana tofauti na wanyonge tu wao waendelee kujitolea serikali haina herah
Duh!Hata na majirani zao walipwe
Hawajajipeleka kwa lazima. Wameombwa wafanye hivyo na wameridhia. Kiungo cha uzazi ni mali binafsi sio ya serikaliDemi,viungo vya Uzazi viheshimiwe tafadhali. Kazi yake ni kuzaa Tu. Watafute faraja nyingine,mbona zipo faraja nyingi tu[emoji3]
Mimi Wazazi wangu walikuwa hawajazaliwa mkuu. Wasamehewe bure[emoji1787]Ni wivu wa kike kweli. Hata mimi sitegemei wala kuona vibaya wajukuu wa Nyerere kulipwa. Ni wajukuu wa Baba wa taifa. Watu waache Wivu.
Wakati Watu wanapigania Uhuru wazazi wao walikuwa wapi?
Mimi Wazazi wangu walikuwa hawajazaliwa mkuu. Wasamehewe bure[emoji1787]
Jiulize kwa nini hawatambulishwi hadharani?[emoji3]Hawajajipeleka kwa lazima. Wameombwa wafanye hivyo na wameridhia. Kiungo cha uzazi ni mali binafsi sio ya serikali
Kwakweli ! Lakini hazitotosha maana pesa huwa haitoshi mpaka siku ya mwisho !! 🙏🙏😂Wanastahili kulipwa Mkuu.
Ndiye aliyeleta hoja bungeni ya kuwa wenza wa viongozi wakuu nao walipwe pension. Mabilioni yote waliyochuma na mafao manono aliyolipwa mumewe na pension nono, na yeye mshahara na posho za ubunge anazopokea yeye bado hatosheki tu bila kusahau Mabilioni aloyovuna kwenye taasisi yake ya WAMA huu kama siyo ushetani ni nini?Mkuu ee,mmama wa watu amekukosea nini hadi unambandika majina magumu hivyo?
Kwenye hilo wapo vizuri sana. Kutoka Mbuzi 7 hadi 100 kasoro si mchezo!. TRA kazi kwao![emoji3]Wafanye kazi kwenye vyama vya ushirika wazalishe mali.
Ni ubaguzi tu usio kuwa wa maana😀Jiulize kwa nini hawatambulishwi hadharani?[emoji3]
Mkuu wewe ndiye unayeona zinawatosha. Ukute wenzako wapo moto wanataka angalau wawe kama Elon Musk[emoji3]Ndiye aliyeleta hoja bungeni ya kuwa wenza wa viongozi wakuu nao walipwe pension. Mabilioni yote waliyochuma na mafao manono aliyolipwa mumewe na pension nono, na yeye mshahara na posho za ubunge anazopokea yeye bado hatosheki tu bila kusahau Mabilioni aloyovuna kwenye taasisi yake ya WAMA huu kama siyo ushetani ni nini?
Aibu mwenzangu. Viungo vya Uzazi vikitumika vibaya huua confidence [emoji3]Ni ubaguzi tu usio kuwa wa maana[emoji3]
Tena usiitamani kwa sababu utaanza kuteseka na upweke pindi uzuri wako ukinyauka[emoji3]Ha haaa kwamba mimi ni mchepuko wa kiongozi? Sijawahi kupata bahati hiyo[emoji3]
Mkuu wewe wakati unapiga swaga kwa dem hujawahi mwambia akikukubalia tu unamuonga dunia yote hii na watu wengine watafute pakwenda? Jk probably alimuahidi kuwa atamuonga tz nzima so nyie tafuteni pakwenda 🤣Ndiye aliyeleta hoja bungeni ya kuwa wenza wa viongozi wakuu nao walipwe pension. Mabilioni yote waliyochuma na mafao manono aliyolipwa mumewe na pension nono, na yeye mshahara na posho za ubunge anazopokea yeye bado hatosheki tu bila kusahau Mabilioni aloyovuna kwenye taasisi yake ya WAMA huu kama siyo ushetani ni nini?