Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, nchi imebarikiwa mapori kibao, mvua za uhakika na mito isiyokauka. Sio kushinda kwenye vijiwe vya kahawa na kulalamika tu. Serikali haina uwezo wa kuajiri watu wote.Jiajirini- kilimo cha mbogamboga, matunda na ufugaji wa kuku kinalipa sana. Muwe wabunifu.
Pamoja sana. Naona pesa imekuwa nyepesi kweli. Walipweeeeee[emoji1787]
na kodi za apartments za michepuko mkuu umesahauWeka na michepukoo ya wakubwaaa..walipweee mahelaaa!!
Mkuu umekubali kwamba hata Sisi walalahoi tunaimudu siasa?. Mtibeli kaliamsha,na hili kulala sio leo[emoji1787]daaah kubabeq huu unafiki ni mkubwa sana chief 😀 😀 😀 😀
[emoji23][emoji23]Salma Kikwete ni mwanamke mwovu sana huyu ni jezebel kabisa.
kaka mimi ntakua nakuletea uji asubuhi ,,,tafuta mwingine wa kukuletea mkate na juisi.Salma Kikwete ni mwanamke mwovu sana huyu ni jezebel kabisa.
Kabisa na wakiona hawatosheki wasikae kinyonge,wateme nyongo tutaenda hata kukopa huko Ma IMF na Ma WB. Sisi tunataka wawe na Complete Peace Of Mind ikibidi wasife na wakifa wasioze[emoji1787]wapewe na overtime na house allowance pia
Hilo ni muhimu sana ili watoto wa viongozi wasilogweHata na majirani zao walipwe
Hiyo bongo imefika?[emoji1787]ni muswada tu kaka bado hatujaupitisha,,,,kwahyo wapewe lc 300 ama?
Watumishi wa MUNGU watalipwa na Mungu[emoji3]si hivyo tyuuuu.......
twendeni mbali zaidi ya hapo, tuwaangalie viongozi wetu kinzani wa milele, wasiopenda kung'atuka. Wanaipenda nchi yao sana.
Watumishi wa Mungu, viongozi wa jadi, mila na desturi. Hawa mi naona yafaa waingizwe kwenye mfumo wa kupata chochote kitu wa kiunua mgongongo.
Itasaidia saaanaaaa ...
Tunaweza na
Inawezekana.....
Asante ..
Mkuu rikiboy,usijizeeshe Kwa mambo madogo. Tuungane tuwahamasishe hata hiyo miradi kama vipi waing'oe wauze skrepa[emoji1787]Watu wanakopa mabilio kila sikuuu miradii hakuna kinachoendeleaa...iliyoanza kazi nayo inakufaaaa...shit hole country.
Amen 🙏Watumishi wa MUNGU watalipwa na Mungu[emoji3]
[emoji1787]Amen [emoji120]
Wachawi wengi[emoji1787]Hilo ni muhimu sana ili watoto wa viongozi wasilogwe
Hilo ni muhimu sana ili watoto wa viongozi wasilogwe
Daah😂😂😂Watumishi wa MUNGU watalipwa na Mungu[emoji3]
Ndio mkuu. Ukiona mtumishi wa MUNGU anavizia kulipwa na Wanadamu huyo ni tapeli[emoji1787]Daah[emoji23][emoji23][emoji23]
Na hayo mapori wakishafyeka kabla hawajalima wamconsult kwanza Tx dullah ili awafanyie Ma-Linear Programming ya kibabe. Famasiala nini[emoji1787]Yeah, nchi imebarikiwa mapori kibao, mvua za uhakika na mito isiyokauka. Sio kushinda kwenye vijiwe vya kahawa na kulalamika tu. Serikali haina uwezo wa kuajiri watu wote.