Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Kama ametumia hiyo elimu sawa, ila kama anataka hawa watoto walipwe inabidi apewe BAN kabisakuna elimu ya utani,unafiki na uzandiki ilikua inatolewa CUBA nafikiri wewe hukubatika kuchaguliwa kusomea hii kozi?
Wenyewe hawajui na kama wanajua basi hawajali. Ili mradi yao yanawanyookea!Hii nchi tunapoelekea sijui maana wanasiasa wanazidi kuleta machukizo makubwa ndani ya jamii
Chain itakuwa ndefu sana mkuu,unaweza kushangaa zali linanikuta hata mimi mlalahoi milimani huku tena kimasihara kabisa. The rest,tupige kazi ili ipatikane posho ya wakubwa. Roho mbaya haijengi[emoji3]Tusiishie hapo tu hata wakwe zao yaani ukioa au kuolewa kwenye familia ya kiongozi pia ulipwe, ndugu wajomba mashangazi mabinamu na wajukuu wote walipwe.
Mpaka wafanyakazi wa ndani na wafungua mageti na madereva pia walipwe na serikali tena.
Maoni yangu naomba yaheshimiwe.[emoji115][emoji3577]
Mkurupuko FC[emoji3]kama huna hekima huwezi elewa hiyo hoja....punguza kukurupuka chief
Kwa hao wa kike machawa ni kama "waume zao tu" hapo vipiJomba unataka kusemaje?. Kwamba Viongozi nchi hii ni wanaume tu?[emoji3]
Aende akasome,CUBA si ni hapo uani tu?[emoji3]kuna elimu ya utani,unafiki na uzandiki ilikua inatolewa CUBA nafikiri wewe hukubatika kuchaguliwa kusomea hii kozi?
Napendekeza hata nyumba ndogo za viongozi wakuu walipwe maana ndio wanaowapa faraja ya akili na mwiliWATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi.
Lakini ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali zaidi kuchochea maendeleo ya nchi yetu kwa kuwalipa na watoto wa viongozi wa taifa letu tukufu.
Watoto wa Marais Walipwe.
Watoto wa Makamu wa rais Walipwe.
Watoto wa Spika wa bunge walipwe
Watoto wa Waziri Mkuu walipwe!
Watoto wa Jaji Mkuu walipwe.
Watoto wa Ma-IGP walipwe.
Watoto wa Wakurugenzi wakuu wa TISS walipwe.
Wapewe Mishahara hata milioni moja au mbili au tatu hivi kwa mwezi. Hayo ndio maendeleo.
Wazazi wao wanatumikia nchi hilo nani atabisha? Wazazi wao wanatumia muda mwingi nje ya familia zao na kuhangaikia nchi, nani anabisha? Wazazi wao wanatukanwa na wananchi wakati mwingine bila kosa nani anabisha?
Walipwe! Walipwe! Tuwalipe! Kodi ni zetu na wao ni viongozi wetu. Tunafurahi wakilipwa. Sisi tutawatumikia kama wao wanavyotutumikia ili kuiendeleza nchi.
Watoto wa viongozi jiandaeni. Tutawalipa kila mwezi.
Ni bora tuwalipe tuu kuliko mjilipe wenyewe kwa kificho. Hata tusipowalipa tunajua mtajilipa kivyovyote tuu.
Muswada upelekwe bungeni, kisha upitishwe. Watoto nao walipwe.
Ambao hawataki wahame nchi.
Tusiishie kuwalipa Wenza wao(waume na wake zao) twendeni mbele zaidi. Tuwe na jicho la mbali kama tai.
Mimi nimemaliza, hayo ni mawazo yangu. Kama hutaki hayo ni mawazo yako na kwangu sio shida.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Ewaaaa. We ni Genius mkuu. Kama vipi na wewe ulipwe Kwa kubalance comment yako.[emoji3]!Kwa hao wa kike machawa ni kama "waume zao tu" hapo vipi
Umejaribu kuibadilisha nyeusi iwe nyeupe, kwangu haina maana yoyoteNaunga mkono hoja, ila malipo hayo sio kwa ajili ya kuwatia moyo bali ni compensation of loss of parental love and parental quality time with their children and kupunguza mateso ya ridicule kwa wazazi wao, wao ndio waathirika.
P
Crown na Subaru ndio vidudu gani hivyo vya kupanda watoto wa wahishimiwa?. Mkuu hebu acha utani[emoji3]mkuu watoto wao wanunuliwe crown au subaru forester halafu ziwe na plate number maalumu ili wasisumbuliwe barabarani
si hivyo tyuuuu.......WATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi.
Lakini ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali zaidi kuchochea maendeleo ya nchi yetu kwa kuwalipa na watoto wa viongozi wa taifa letu tukufu.
Watoto wa Marais Walipwe.
Watoto wa Makamu wa rais Walipwe.
Watoto wa Spika wa bunge walipwe
Watoto wa Waziri Mkuu walipwe!
Watoto wa Jaji Mkuu walipwe.
Watoto wa Ma-IGP walipwe.
Watoto wa Wakurugenzi wakuu wa TISS walipwe.
Wapewe Mishahara hata milioni moja au mbili au tatu hivi kwa mwezi. Hayo ndio maendeleo.
Wazazi wao wanatumikia nchi hilo nani atabisha? Wazazi wao wanatumia muda mwingi nje ya familia zao na kuhangaikia nchi, nani anabisha? Wazazi wao wanatukanwa na wananchi wakati mwingine bila kosa nani anabisha?
Walipwe! Walipwe! Tuwalipe! Kodi ni zetu na wao ni viongozi wetu. Tunafurahi wakilipwa. Sisi tutawatumikia kama wao wanavyotutumikia ili kuiendeleza nchi.
Watoto wa viongozi jiandaeni. Tutawalipa kila mwezi.
Ni bora tuwalipe tuu kuliko mjilipe wenyewe kwa kificho. Hata tusipowalipa tunajua mtajilipa kivyovyote tuu.
Muswada upelekwe bungeni, kisha upitishwe. Watoto nao walipwe.
Ambao hawataki wahame nchi.
Tusiishie kuwalipa Wenza wao(waume na wake zao) twendeni mbele zaidi. Tuwe na jicho la mbali kama tai.
Mimi nimemaliza, hayo ni mawazo yangu. Kama hutaki hayo ni mawazo yako na kwangu sio shida.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Asante kwa mapendekezo ila vigezo sina Mimi ni maskini kwahiyo natakiwa nishinde na jua shambani ili ipatikane ya kuwalipa hao maviongozi na ndugu zao mkuuEwaaaa. We ni Genius mkuu. Kama vipi na wewe ulipwe Kwa kubalance comment yako.[emoji3]!
Mkuu ee,mmama wa watu amekukosea nini hadi unambandika majina magumu hivyo?Salma Kikwete ni mwanamke mwovu sana huyu ni jezebel kabisa.
ni muswada tu kaka bado hatujaupitisha,,,,kwahyo wapewe lc 300 ama?Crown na Subaru ndio vidudu gani hivyo vya kupanda watoto wa wahishimiwa?. Mkuu hebu acha utani[emoji3]