Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Toshekeni na umasikini wenu (kwa sauti ya yule yesu kwa kwenye movie)Kaka na sisi wa maskini je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toshekeni na umasikini wenu (kwa sauti ya yule yesu kwa kwenye movie)Kaka na sisi wa maskini je?
Naunga Mkono Hoja na Imekaa vizuri Pia ila Uongeze na Watoto wa WKuu wa Mikoa Ma RPC na wakuu w jeshi ngazi za mikoaWATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi.
Lakini ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali zaidi kuchochea maendeleo ya nchi yetu kwa kuwalipa na watoto wa viongozi wa taifa letu tukufu.
Watoto wa Marais Walipwe.
Watoto wa Makamu wa rais Walipwe.
Watoto wa Spika wa bunge walipwe
Watoto wa Waziri Mkuu walipwe!
Watoto wa Jaji Mkuu walipwe.
Watoto wa Ma-IGP walipwe.
Watoto wa Wakurugenzi wakuu wa TISS walipwe.
Wapewe Mishahara hata milioni moja au mbili au tatu hivi kwa mwezi. Hayo ndio maendeleo.
Wazazi wao wanatumikia nchi hilo nani atabisha? Wazazi wao wanatumia muda mwingi nje ya familia zao na kuhangaikia nchi, nani anabisha? Wazazi wao wanatukanwa na wananchi wakati mwingine bila kosa nani anabisha?
Walipwe! Walipwe! Tuwalipe! Kodi ni zetu na wao ni viongozi wetu. Tunafurahi wakilipwa. Sisi tutawatumikia kama wao wanavyotutumikia ili kuiendeleza nchi.
Watoto wa viongozi jiandaeni. Tutawalipa kila mwezi.
Ni bora tuwalipe tuu kuliko mjilipe wenyewe kwa kificho. Hata tusipowalipa tunajua mtajilipa kivyovyote tuu.
Muswada upelekwe bungeni, kisha upitishwe. Watoto nao walipwe.
Ambao hawataki wahame nchi.
Tusiishie kuwalipa Wenza wao(waume na wake zao) twendeni mbele zaidi. Tuwe na jicho la mbali kama tai.
Mimi nimemaliza, hayo ni mawazo yangu. Kama hutaki hayo ni mawazo yako na kwangu sio shida.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Toshekeni na umasikini wenu (kwa sauti ya yule yesu kwa kwenye movie
Naunga Mkono Hoja na Imekaa vizuri Pia ila Uongeze na Watoto wa WKuu wa Mikoa Ma RPC na wakuu w jeshi ngazi za mikoa
We jaamaa una akili sanaNaunga mkono hoja, ila malipo hayo sio kwa ajili ya kuwatia moyo bali ni compensation of loss of parental love and parental quality time with their children and kupunguza mateso ya ridicule kwa wazazi wao, wao ndio waathirika.
P
Yaani nimecheka sana. Unaonekana kukerwa sana. Hata hivyo naunga mkono hoja. Bila kusahau na wajukuu zao,walipwe tu kwani hatari ni nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]WATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi.
Lakini ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali zaidi kuchochea maendeleo ya nchi yetu kwa kuwalipa na watoto wa viongozi wa taifa letu tukufu.
Watoto wa Marais Walipwe.
Watoto wa Makamu wa rais Walipwe.
Watoto wa Spika wa bunge walipwe
Watoto wa Waziri Mkuu walipwe!
Watoto wa Jaji Mkuu walipwe.
Watoto wa Ma-IGP walipwe.
Watoto wa Wakurugenzi wakuu wa TISS walipwe.
Wapewe Mishahara hata milioni moja au mbili au tatu hivi kwa mwezi. Hayo ndio maendeleo.
Wazazi wao wanatumikia nchi hilo nani atabisha? Wazazi wao wanatumia muda mwingi nje ya familia zao na kuhangaikia nchi, nani anabisha? Wazazi wao wanatukanwa na wananchi wakati mwingine bila kosa nani anabisha?
Walipwe! Walipwe! Tuwalipe! Kodi ni zetu na wao ni viongozi wetu. Tunafurahi wakilipwa. Sisi tutawatumikia kama wao wanavyotutumikia ili kuiendeleza nchi.
Watoto wa viongozi jiandaeni. Tutawalipa kila mwezi.
Ni bora tuwalipe tuu kuliko mjilipe wenyewe kwa kificho. Hata tusipowalipa tunajua mtajilipa kivyovyote tuu.
Muswada upelekwe bungeni, kisha upitishwe. Watoto nao walipwe.
Ambao hawataki wahame nchi.
Tusiishie kuwalipa Wenza wao(waume na wake zao) twendeni mbele zaidi. Tuwe na jicho la mbali kama tai.
Mimi nimemaliza, hayo ni mawazo yangu. Kama hutaki hayo ni mawazo yako na kwangu sio shida.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Mkalime na mjiajiriKaka na sisi wa maskini je?
WATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO.

😭😭😭😭😭😭Toshekeni na umasikini wenu (kwa sauti ya yule yesu kwa kwenye movie
Yaani nimecheka sana. Unaonekana kukerwa sana. Hata hivyo naunga mkono hoja. Bila kusahau na wajukuu zao,walipwe tu kwani hatari ni nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiyo Walipwe walipwe maana wanavuja Jasho kwa ajili ya kutetea Baba zao na wanapata Emotion Demage pia. Walipwe maana wanakaa mbali na Upendo wa Wazazi wao pindi wakiwa katika shughuli za kiserkaliWanatumikia nchi.
Hekta Moja ya matikiti inatoa faida ya Bilioni ngapi ndugu motivesheno spika?[emoji3]Jiajirini- kilimo cha mbogamboga, matunda na ufugaji wa kuku kinalipa sana. Muwe wabunifu.
Kila mtu alipwe tu maana anafanya kazi kwa maendeleo ya nchi ( Kinyume cha hapo ni ubaguzi- wengine walipwe na wengine wasilipwe) , issue ni namna ya ku- calculate hiyo loss of parental love na parental quality time- Itafutwe formula mahsusi itumike na walipwe- noises zote zitaishaNaunga mkono hoja, ila malipo hayo sio kwa ajili ya kuwatia moyo bali ni compensation of loss of parental love and parental quality time with their children and kupunguza mateso ya ridicule kwa wazazi wao, wao ndio waathirika.
P
Hata ukilia mjini huendi 😁😭😭😭😭😭😭
Evelyn Salt nakupenda sana 😘Toshekeni na umasikini wenu (kwa sauti ya yule yesu kwa kwenye movie
Na machawa mlipwe ata milioni5 itapendeza
Ngoja nikalime zangu kimbijiHata ukilia mjini huendi 😁
Lipeni watoto wa viongoziKaka na sisi wa maskini je?
Nimejaribu kuisoma hii habari kwa umakini ili nione kama upo serious or not. Hadi sasa sijajua kama umedhamiria kabisa iwe hivi au umeleta utani. Kama upo serious kabisa na unatamani iwe hivi, nimekutukana matusi yote yale makubwa makubwa siandiki hapa maana nitapigwa ban.WATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO.