Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Replies zetu kwa namna moja ama nyingine zinaweza kututambulisha uhalisia wetu juu ya kile kinachojadiliwaKama mashoga wa humu tu Jf mmeshindwa kuwakemea kuacha vitendo hivyo zaidi ya kuwakumbatia na kutwa mnaitana binamu vipi hao msiowajua mtaweza kuwashauri kuachana na izo tabia potofu. Acheni unafiki
Matokeo ya malezi ya single parent[emoji848][emoji2827]
Mungu saidiaAmeshafuta hilo neno baya ,wakati nilipoenda kuconfirm niliona lipo baada ya dakika mbili akaedit na kuliondoa...
Kutoka alipojitangaza mpaka alipofuta,
Ni kweli kabisa humjui Mona..Aisee wakuu bado kiza kwangu huyu monalisa ni nani?
Ila nimeona anakaa Zanzibar ,na huko Zanzibar wamejaa kina faki daddy faki na Kiringo wa kutosha.[emoji2827]
Means baada ya kujitangaza hivyo kaongeza followers fasterKutoka alipojitangaza mpaka alipofuta
followers wameshift 22.9k mpaka 23.2
Hili ni kundi kubwa sana linaloshabikia haya mambo
Meanwhile, I have to raise Davin in this same doomed world.
NdioNi kweli kabisa humjui Mona..
Msiba mkubwa sana.Means baada ya kujitangaza hivyo kaongeza followers faster
Msiba huu
Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
Huyu mtoto walivokua wanamlea aisee shida tupu, na kale kadada kake kamechangia sanaWazazi tuombeana sana.. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu.. Kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa.. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume...