Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Asante kwa kushukuru mkuu, watu sio wema humuMkuu nashukuru kwa ufafanuzi japo baadhi ya wadau waliona kama nauliza kimasihara
Huyo fundi kiukweli simjui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kushukuru mkuu, watu sio wema humuMkuu nashukuru kwa ufafanuzi japo baadhi ya wadau waliona kama nauliza kimasihara
Huyo fundi kiukweli simjui
Halafu huyo mwenzagu bado hana nguvu za kiume. Nabakia mwenyewe dunianiTatizo mnaelekea kuisha.
Na kwenye hilo kundi wakitolewa kina kataa ndoa mnabaki kama wawili hivi.
Hahaaa, kimafia kwa kizazi hiki utaonekana u mbaya. Mi Nina kijana wa std vii namkazia kweli kweli yaani namuandaa awe mgumu na mafia na sio lelemamaWamama wanachangia sana watoto wa kiume kuwa mashoga ,just imagine zari anafurahia kabisa wanae wa kiume kuvaa hereni zake.
Mtoto wa kiume inatakiwa alelewe kimafia ,ukimlea kimayai mayai ni majanga sana.
Mdau kanijibu hapo juu kuwa ni fundi ujenzi wa Ushirombo
Nasisitiza lazima alelewe kikenge mtoto wa kiume.Wamama wanachangia sana watoto wa kiume kuwa mashoga ,just imagine zari anafurahia kabisa wanae wa kiume kuvaa hereni zake.
Mtoto wa kiume inatakiwa alelewe kimafia ,ukimlea kimayai mayai ni majanga sana.
Idadi inapungua pande zote mbili kumbuka kuna shoga na wasagaji.
Mkuu upo real sana, wengi humu wanajua kila muda ni utani wanasahau vitu vingine tunakuwa hatuvijui na tunauliza tukiwa seriousAsante kwa kushukuru mkuu, watu sio wema humu
Kwani basata kazi imewashinda? Nipo kwenye basi naskia wimbo wa singeli mtu anaimba et naheshimu madanga ya mke wangu!Hao wacha wawe tu, maana hakuna msanii mwenye fundisho kwa jamii.
Wengi wanaimba ujinga
Sijakuelewa
Kumbe ni fundi nguo, mi nilijua fundi nyumbaSijakuelewa
Umekuja na ID mpya?? MariposaEh!! Jamani Mungu tusamehe na uturehemu na urehemu vizazi vyetu[emoji24][emoji120]
PonyaTaifa letu Jehova
Sent using Jamii Forums mobile app
Muigizaji wa kike Tanzania. Pia anafanya matangazo ya bahati nasibu.
Niamini mimi mkuu, jibu nililokupa ndio sahihi....😎
Watanganyika wakijua kitu kwapa zote zinatanuka kama wanamajipu full kuringaKumbe ni fundi nguo, mi nilijua fundi nyumba
Nashukuru sana kwa kunijuza japo JF masihara mengi ila nimechagua jibu lako kuamini kuwa ndio jibu sahihiMuigizaji wa kike Tanzania. Pia anafanya matangazo ya bahati nasibu.