Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #81
AgentX nakuelewa vizuri sana lakini hapa ndio penye mkanganyiko mkubwa kuhusu kupashana habari .. Je tuongee au tusiongee?Madam Kama Hizi ndo Zinachochea Ushoga.
Mshana Jr. Unachukizwa Kama Mimi Ila thread Kama Hizi Zina promote sana ni bora kukaa kimya tu.
Mark my words.
Baada ya kupandisha hii thread dakika chache dogo akafuta kule Twitter .. Je kumekuwa na positive impact!
CC: King Kong III