Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Kutoka alipojitangaza mpaka alipofuta,
followers wameshift kutoka 22.9k mpaka 23.2 hawa ni watu zaidi ya mia 3 ndani ya kipindi cha dakika chache sana.
Hili ni kundi kubwa mno linaloshabikia haya mambo

Meanwhile, I have to raise Davin in this same doomed world.

Kuna wakati unaweza ukatamani usipate watoto.
Ni jinsi unavyolea mtoto.
Mtoto hatakiwi pewa uhuru wowote, hakikisha unampelekesha hadi avuke 20

Boarding schools hazifai

Simu hazifai
 
... kama domo ndio hovyo kabisa; maadili sifuri. Na wajinga wajinga wanatamani kuwa kama yeye mtu ambaye hana la maana la jamii kujivunia kuanzia maudhui ya mashairi yake hadi life style ya kimalaya malaya!
Mi ndo maana huwa sishabikii mtu.
Wasafi yote husifia mapenzi ya jinsia 1, na hawaoni taabu kusifia
 
Ni jinsi unavyolea mtoto.
Mtoto hatakiwi pewa uhuru wowote, hakikisha unampelekesha hadi avuke 20

Boarding schools hazifai

Simu hazifai
Unadhani hiyo inatosha, inaweza kusaidia yes ila ni kwa sehemu ndogo sana.

Ngoja nikupe hiki kisa...
Namfahamu ndugu mmoja, amezaliwa na kukulia kwenye familia very strict. Mama wakikurya hakutoa uhuru wowote kwa watoto, baba wakikurya hakudekeza mtoto yeyote.

Mlengwa ninayemzungumzia alisoma day until Advance level TUSIIME.

Kufupisha story, huyu kijana ni shoga wa kutupwa. Ananunua vijana wa chuo anawalipa kwa kazi moja tuu.

Mimi nimekaanae ofisini akiwa superior wangu, aisee nyie acheni tuu..
Alijitahidi ila mwisho wa siku aliniweka wazi tuu kua yeye ni wa vipi. Alimpangia nyumba kijana mmoja wa chuo, akamfungulia duka, na bado kila wiki anamtumia hela ya kula mpaka hela ya gym. Ofisi ilikua wilayani, so ikifika ijumaa jamaa huyoo. Kurudi ofisini ni jumatatu asubuhi.
 
Umasikini ni shida

Hapo tukitaka kupambana hii kitu ni kuhamua kujitegenea kwa 90% kwa kila KITU Muhimu kwa Maisha
Umasikini hauhusiki na kitu maana hakuna anayekuja kukulazimisha uwe shoga ni mtu mwenyewe huamua kutokana na malezi mabaya
 
Madam Kama Hizi ndo Zinachochea Ushoga.



Mshana Jr. Unachukizwa Kama Mimi Ila thread Kama Hizi Zina promote sana ni bora kukaa kimya tu.


Mark my words.
Mkuu tunahabarishana ili tujue ni kwa namna gani tunaweza kukabiliana nalo. Hawa mastaa uchwara wanahitaji kukemewa mbuzi kabisa na kibaya zaidi vijana wadogo nao ndio wanawafuatilia sana bila kujua madhara yake. Shenzi kabisa.

Tuukemee Asubuhi, Mchana, Jioni na Usiku. Hii kitu bila kuchukulia hatua hatutaweza tusikae kimya kabisa
 
Kuna wazazi wanajua watoto wao ni mashoga, wanawalea mno, wanaumia moyoni ila wanakomaa nao,wanaenda kwa waganga wakitegemea watabadilika
Kama wanaumia kweli, waonyeshe hizo hisia za kuumia kweli; sio kuwakumbatia na kuaminisha jamii wanaunga mkono huo ujinga
 
Zilipo anza harakati za zinazosemekana za kumtetea mwanamke.wengi walizipokea kwa shamrashamra, ili uonekanae na wewe ni mtu katika watu lazima useme yale ya jinsia ya kike. NI ZAMA ZA UKIKE KIKE, UMAMA UMAMA

Ni suala la kumuinua na kumuwezesha kiuchumi mwanamke mwanzo mwisho, na majukumu yake ya asili ya msingi ya malezi ya watoto yakipewa kisogo. na sasa sio kipaumbele tena, malezi ya watoto ni kazi ya wasichana wa kazi, walimu wa dini na walimu wa shule za awali, msingi na bweni.

Suala la malezi na maadili sio kipaumbele cha wanaharakati wa wanawake wala media.
We mwanume chapa kofi mke, ndio utaona kama kuna wanaharakati.

Malezi ya mwanamke pekee yake (single mother) ni tatizo kwa dunia, ajabu hili haliongelewi na hao watetezi wa wanawake. kwamba mashoga wengi ni matokeo ya malezi ya mzazi mmoja, hili sio shida kwao

Tusimchoshe MUNGU kwa kutoa dua na sala tukiwa nyuma ya keyboards za simu na laptops.

Mwanao akichagua kuwa shoga, ni sawa. Ukiamua zaa na kulea shoga ni sawa pia.
Kwani ulisikia hawa mashoga wanatembea na waitaliano, wareno, waarabu, wafilipino,na kwamba sisi wabantu hatuhusiki!!

Wenye pumbhu tupo!!

HATUCHAGUI HAJA NDOGO WALA KUBWA.
 
Back
Top Bottom