Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

.mmhhh...Mtihani haki ya Mungu usiombe yakukute ila jamani wazazi hizi boarding boarding mnazopeleka watoto wenu wakiwa wadogo litawakuta jambo.

Walimu hawana Muda WA kuwatch 100%efficiently wanawaacha wale wenyewee wajilee wenyewee n.k obviously watoto washenzii watawaharibu TU wenzao.

Kwa Sasa Malezi mzazi anapaswa kusimama 100% haswaa Kwa watoto wa kiume na muwafundishe kizuri na kibaya pia,kipi sahihi na ambacho sicho sahihi Kwa Mila na desturi zetu za kitanzania.

Wazazi tunajisahau mnooo ukitizama ushoga mwingi umeanzia mashuleni au Kwa Ndugu wa karibu waliotuzunguka ndo wameharibu vijana, Wachache sana ni hormones zinasababisha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Monalisa ndio nani?
Simnasema hakuna Mungu Sasa hilo jina la monalisa unauliza la nini, mbona huulizagi Mungu ndonani, neno Mungu Nani aliyelianzisha kwann huyo Mungu asingeitwa John au Alex kwann aitwe Mungu navipi mtoto wako usimpe jina MUNGU halafu usubiri nini kitatokea... Kwa wakristo utapona mwite mtoto wako jina Allah uone mziki wa talibani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
JF inasomwa na wengi. King Kong III kaliongelea pia hili.. Hii inaitwa positive impact ya JF[emoji1752][emoji1545]

Kabisa Jambo likishaletwa JF maana yake Serikali(vyombo vya dola) italiona na pia litatrend hivyo wahusika wameona kinaweza kunuka wakaona ngoja waondoe fasta kwenye bio....Si mnakumbuka Delicious aliwekwa ndani kwa mamabo hayo hayo ya kujinadi Insta kwamba yeye ni "Lokole".
 
Hawa vijana wa KATAA NDOA nao wanaongezeka kwa kasi mno hadi unajiuliza nini kipo nyuma yao? Ni wadada tu sio waaminifu au ni kampeni maalumu ya Agenda ya siri [emoji35][emoji35]
Wakataa ndoa wengi ni fuata upepo hawajui nini wanatetea na wanachokitaka wao hawaelewi. Kisa alikua kwenye mahusiano flani mambo hayakwenda vizuri anaanza kuwashawishi wenzake wasioe. Wengine bila aibu wanasema we zalisha tu watoto watakuja kukusaidia badae. Comments kama hizo nimekutana nazo nyingi sana

Madhara yake wengi hawayaoni sasa hivi au uwezo wa kuchanganua mambo umekua mdogo sana.
 
Yaani hayo maeneo natapika hata nipewe nyumba bure siwezi ishi na Mwanangu anga limejaa mashoga na Wasagaji.
Hongera sana kwa kujielewa ,mimi wakati nipo single nilikuwa naishi maeneo ya design kama hayo lakini baada ya kuoa nikahama kabisa nikaenda kuishi porini kabisa.

Asikwambie mtu kuishi sehemu kama hizo na familia jua ni mtihani si mke ,si mme si watoto.
 
Hongera sana kwa kujielewa ,mimi wakati nipo single nilikuwa naishi maeneo ya design kama hayo lakini baada ya kuoa nikahama kabisa nikaenda kuishi porini kabisa.

Asikwambie mtu kuishi sehemu kama hizo na familia jua ni mtihani si mke ,si mme si watoto.
Wewe ukiona sehemu asilimia kubwa wenye nyumba hawapo nyumba zimepangishwa ujue kuna tatizo hayo maeneo wenye nyumba wanapangisha yoyote hata kama jini muhimu pesaaa
 
Back
Top Bottom