Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Huwa nasema Waislamu wengi ndio mashoga ila naonekana mdini
Nchi za ulaya na marekani, ambako ndiko kuna Wakristo wengi, ndiko ushoga uko juu, na ukishabikiwa wazi wazi na serikali.
Elton John, na mumewe hualikwa kwenye sherehe za kitaifa, siyo kwa sababu ya umaarufu John, kwenye mziki la hasha bali ni ushoga wake.

Huko kuna vilabu vingi vya mashoga, vinavyotambukika na serikali zao, na serikali hukusanya ushuru wa mavi.

Nchi za kiislamu misimamo yao iko wazi, jinsi wanavyopambana na ushoga, ila Ukiingiza udini Wakristo hupenda kujiona wasafi sana, Wakati bibilia halina neno linalolaani ushoga.
 
Sasa kama mambo yenyewe ndio haya mtoto anakosaje kuwa shoga

Single mothers wanazingua sana kwenye maelezi ya watoto wa wakuume hasa wakishachanganya na ushua/umayai hapo mtoto kwisha habari yake
Screenshot_20230227-223708_1.jpg
Screenshot_20230227-223836.png
 
Nchi za ulaya na marekani, ambako ndiko kuna Wakristo wengi, ndiko ushoga uko juu, na ukishabikiwa wazi wazi na serikali.
Elton John, na mumewe hualikwa kwenye sherehe za kitaifa, siyo kwa sababu ya umaarufu John, kwenye mziki la hasha bali ni ushoga wake...
Lipo limeandikwa wafiraji mikundu wamelaaniwa hawatauona ufalme wa mbingu
 
Wazazi tuombeana sana. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu.. Kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume .. Wote wanaharibika. Wote wanaharibikiwa jamii inaingia kwenye mtanziko mkubwa.. Kizazi kijacho kiko mashakani

Wasanii wetu ni role models wa vijana wetu. Vijana wetu, watoto wetu hutamani, huwa na ndoto za kuwa kama fulani, kuna hatari kubwa sana kupotosha na kupoteza wengi kama msanii ama mtu maarufuvakiongea kitu

Hapo mwanzo tulizoea vijana barobaro wakijitangaza mitandaoni kuwa wao ni mashoga..haikuwa mbaya sana kwakuwa hawakujulikana na wengi.. Leo hii anjitokeza kijana wa kiume wa msanii maarufu anajitangaza hadharani kuwa yeye ni shoga ana anajivunia (ushoga
emoji24.png
). Huyu ana followers wangapi Yarab toba!

Kipenga cha kujitangaza live kimepulizwa rasmi Tanzania, viongozi wanapiga kimya kama hawaoni.. Tunapoteza kizazi kijacho.

Ushoga umetamalaki nchini lakini mamlaka hazina nguvu hata chembe ya kukemea.. Madhara ya kukubali mikopo na misaada yenye masharti kificho

Lifestyle wanayowalea na kuwakuza watoto wao hawa tunaowaita wasanii maarufu Tanzania ni janga kubwa.. Hafundishwi kuwa wanaume kamili hawafundishwi ukakamavu.. Wanalelewa kuwa wanaume wa kike ama wanawake wa kiume... Wengi wakilelewa na mzazi mmoja.

Hakuna wa kukemea.. Zaidi ya sisi wapiga kelele mitandaoni. Tuhamasishane sisi wazazi wa huku kuwalinda vijana wetu, tuongee nao tuwe nao karibu tuwachunguze kwa karibu mienendo yao, marafiki zao nknk

Tunataka nasi tuache mbegu itakayomea na kuendeleza kizazi.. Tupunguze harakati za kimaisha tutenge muda wa kutosha kuwa na vijana wetu... Hali ni mbaya sana.

Kampeni ya kataa ndoa ni kampeni ya kishenzi, isipewe nafasi haina malengo mazuri kwa maisha ya kesho na wengi wameivamia kwa ujuaji tu wa kitoto. Hawajui matokeo yake!

Madhara ya hii kampeni ikiachwa imee yataonekana soon.. Huko mavyuoni hali ya ushoga na usagaji ni mbaya sana huko kwenye mitandao ya kijamii ndio usiseme.

Kijana anamaliza chuo ni msagaji, kijana anamaliza chuo ni shoga! Kuna familia tena hapo? Kuna ndoa tena hapo? Kuna future tena hapo?

Kama mtoto wa Monalisa kajitangaza akamewe wazi na awe ni wa mwisho. Hili likiachwa janga kubwa linakuja. Zamani tuhuma za aibu za ushoga zilikuwa maeneo ya mwambao .. Siku hizi mpaka chuga ni kama fasheni

Inauma sana!
Inauma sana hata
Wazazi tuombeana sana. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu.. Kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume .. Wote wanaharibika. Wote wanaharibikiwa jamii inaingia kwenye mtanziko mkubwa.. Kizazi kijacho kiko mashakani

Wasanii wetu ni role models wa vijana wetu. Vijana wetu, watoto wetu hutamani, huwa na ndoto za kuwa kama fulani, kuna hatari kubwa sana kupotosha na kupoteza wengi kama msanii ama mtu maarufuvakiongea kitu

Hapo mwanzo tulizoea vijana barobaro wakijitangaza mitandaoni kuwa wao ni mashoga..haikuwa mbaya sana kwakuwa hawakujulikana na wengi.. Leo hii anjitokeza kijana wa kiume wa msanii maarufu anajitangaza hadharani kuwa yeye ni shoga ana anajivunia (ushoga[emoji24]). Huyu ana followers wangapi Yarab toba!

Kipenga cha kujitangaza live kimepulizwa rasmi Tanzania, viongozi wanapiga kimya kama hawaoni.. Tunapoteza kizazi kijacho.

Ushoga umetamalaki nchini lakini mamlaka hazina nguvu hata chembe ya kukemea.. Madhara ya kukubali mikopo na misaada yenye masharti kificho

Lifestyle wanayowalea na kuwakuza watoto wao hawa tunaowaita wasanii maarufu Tanzania ni janga kubwa.. Hafundishwi kuwa wanaume kamili hawafundishwi ukakamavu.. Wanalelewa kuwa wanaume wa kike ama wanawake wa kiume... Wengi wakilelewa na mzazi mmoja.

Hakuna wa kukemea.. Zaidi ya sisi wapiga kelele mitandaoni. Tuhamasishane sisi wazazi wa huku kuwalinda vijana wetu, tuongee nao tuwe nao karibu tuwachunguze kwa karibu mienendo yao, marafiki zao nknk

Tunataka nasi tuache mbegu itakayomea na kuendeleza kizazi.. Tupunguze harakati za kimaisha tutenge muda wa kutosha kuwa na vijana wetu... Hali ni mbaya sana.

Kampeni ya kataa ndoa ni kampeni ya kishenzi, isipewe nafasi haina malengo mazuri kwa maisha ya kesho na wengi wameivamia kwa ujuaji tu wa kitoto. Hawajui matokeo yake!

Madhara ya hii kampeni ikiachwa imee yataonekana soon.. Huko mavyuoni hali ya ushoga na usagaji ni mbaya sana huko kwenye mitandao ya kijamii ndio usiseme.

Kijana anamaliza chuo ni msagaji, kijana anamaliza chuo ni shoga! Kuna familia tena hapo? Kuna ndoa tena hapo? Kuna future tena hapo?

Kama mtoto wa Monalisa kajitangaza akamewe wazi na awe ni wa mwisho. Hili likiachwa janga kubwa linakuja. Zamani tuhuma za aibu za ushoga zilikuwa maeneo ya mwambao .. Siku hizi mpaka chuga ni kama fasheni

Inauma sana!
Inauma sana na haifurahishi.
 
Back
Top Bottom