reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Haswaa wa kiume ,binafsi am afraid of having a sonKutoka alipojitangaza mpaka alipofuta,
followers wameshift kutoka 22.9k mpaka 23.2 hawa ni watu zaidi ya mia 3 ndani ya kipindi cha dakika chache sana...
I swear Na nikipata daah sijuii itakuaje yaani naogopa Sana nadhani atanifanya nilie na Mungu mda mwingi Kwa Kweli naogopa Sana mwenzenu kama Hawa wa kike Niko over protective.
Juzi kananiambia kwenda skauti kabinti kangu ka std 5 nikikaambia mama nakupenda Sanaa ila usalama wako unakoenda ni mdogo mnoo watu sio wazuri hvyooo unadvodhani my dear.
Kuna kubakwa,kunyanyasana na kutishiwa maisha ,alinielewa akanambia Sawa mqma baasi siendi
But i swear am scared mnoo Mungu atulinde
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app