Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi


Zbar kuna chuo cha kuzalisha mapunga zeze
 
Kwanini umeni-quote?

Haikuwa hekima kwako kupita kimya kimya tu au ili nijue na huku upo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si nimekuhurumia jaman kwa mateso unayopitia?? Au vibayaa?
 
Si wewe hapo, mwengine boflo sijui kafa yule[emoji28][emoji28][emoji28] pia faizafoxy unaweza kuta nalo bwabwa maana si kwa kuchamba kule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee babuuu em kwan, kumbe mie ndo maarufu JF?? Awwww mbna taarifa cnaa eti.
 
Wasipoelewa hapa, hawataelewa tenaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Yes hawa ndio hasa wanaharibu jamii maana wana tabia ya kuingilia kinyume na maumbile vijana wadogo wenye tamaa ya fedha na kupenda vitu vizuri
 
Hakika kabla ya kudili na muhusika tudili na chanzo kwanza hao wafilaji
 
Reactions: Gru
Na deliscious walitoka siku ya tatu kwa milioni tano. Watu walidhani wangekosa fedha za kulipa waozee huko. Wengine walishabikia kwamba wangeolewa huko jela.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan Delicious mwenyewe alikua hajui namna ya kuwabana polisi. Wangekutana na shoga msomi na anayejua vizuri katiba angewafurahishaaaa mnoooo.

Mil 5 ilitoka km geresha tyuuh, hata km wangekaza kutotoa wangetoka nje tyuuh, kwa case ya ushoga hapa Bongo hakuna atae fungwaaa kamwee

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We sasa huna mpinzani jumanyokole wetu[emoji847][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wee hapanaa mie sio juma lokole, usinipe nyota ya umaskini.

Sema James Charles bhana, au kwa mbali Bob Risky.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee hapanaa mie sio juma lokole, usinipe nyota ya umaskini.

Sema James Charles bhana, au kwa mbali Bob Risky.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hela yenyewe huna we km boflo tu😅😅😅
 
Hela yenyewe huna we km boflo tu[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ninayooo ila sihongii wanaume, naziweka ili baadae nilee vibenteni na Marioos.

Somizi ndo anaweza kuleaa vibenten bado yuko mbichii akuuuu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yes hawa ndio hasa wanaharibu jamii maana wana tabia ya kuingilia kinyume na maumbile vijana wadogo wenye tamaa ya fedha na maisha kupenda vitu vizuri
kuna mmoja anaongea lafudhi ya pwani ya kenya anapenda kuonesha simu ya gharama kubwa kuwa kaipata kwa kubunyuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…