Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Ameshafuta hilo neno baya ,wakati nilipoenda kuconfirm niliona lipo baada ya dakika mbili akaedit na kuliondoa.
Nimeona watu wanamlaumu Mona inakuwaje mwanae ajitakanze shoga halafu yeye amekaa kimya tu?
Mshana Jr umesaidia maana amelifuta ila hata kama ni shoga ilitakiwa asijitangaze aisee.....Ila nimeona anakaa Zanzibar ,na huko Zanzibar wamejaa kina faki daddy faki na Kiringo wa kutosha.
Zbar kuna chuo cha kuzalisha mapunga zeze