Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Dah hebu tupia link [emoji1545]
 
Wa kike au wakiume?
 
Kiukweli kuna Watu mnapenda kujipa kazi sana,
Hivi hata mambo ya mitandaoni mnaumizwa nayo kiasi hiki jamani!?
Kama wakerwa sana na kitu jiepushe nacho, hupendi kuwaona hao humu JF basi jitoe wewe ili ubaki na Amani,

Dhambi ya Ubaguzi ni mbaya na hua haina kikomo,
Kuna single moms humu hutukanwa kila leo, kuna wale wa Dini hutukanana kila leo, huko kwenye Siasa ndio balaa, sasa wewe kuliko kuamrisha wenye Forum wawafungie watu usiowataka ni aidha wewe ujitoe au usishiriki kabisa kwenye mada za namna hiyo,

Ila ajabu kila Mada za Ushoga nawe umo, sijui wataka tukueleweje.
 
Sema tu docta, tunao wanasheria wengi hapa jf[emoji38][emoji38].
Mi ndo maana watu wakikaza shingo kupinga ushoga naona kama wanapoteza muda wao bure. Hii kitu ina baraka za serikali . Na viongozi wengi ndo mabasha wenyewe
Hehehehe mbona Wanasheria wa JF, ila kaa ukijua tunapokea mgao kila mwaka kwa wahisani wa [emoji304] jiulize sasa kama pesa tunachukua nguvu ya kukemea tunaitoa wapi kwa mfano
 
🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…