Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Japo haihusiani, nimesikia huko visiwani leo kuna askari ameviaibisha sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa kusambaa video yake ya aibu.

Hili ni janga ambalo ni ngumu kujua kipi ni sahihi zaidi kati ya kuliongelea au kulikalia kimya. Kuliongelea japo kunaweza kuwa na dhana ya kulikemea pia kunaweza kumaanisha kulitangaza, upande mwingine, kulikalia kimya ni kuwapa uhuru wanaofanya wajione wako sahihi na kupata wengine wa kuwaiga.
Dah hebu tupia link [emoji1545]
 
Wa kike au wakiume?
 
Dah hebu tupia link [emoji1545]
Ni Askari wa zimamoto. Analiwa huku kalegea kweli
Dunia imekwisha. Watu tukipinga, Lissu anasema hiyo ni faragha mambo ya chumbani hayapaswi kuingiliwa

20230301_143346.jpg
 
Jamiiforums kwa kujua au kutokujua (obviously wanajua) imekuwa ikishiriki kwa makusudi kuivunja asili ya Mtanzania/mtu mweusi kwa ujumla.

Humu imekuwa siyo ajabu kukutana na mada zinazopinga ndoa ziwe ni za Kanisani Msikitini au kwa Mkuu wa Mkoa utakuta watu wanajadili kwa uhuru wengine wakiitukana taasisi hiyo huku wao wenyewe wametoka humo humo bila uwoga,mada kama hizo kwa taifa letu zisingepaswa hata kwa dk moja kukaa kwenye server za mtandao unaojinasibu kuwa bora na hata kama ni uhuru uhuru usizidi maadili ya taifa.

Hilo la ushoga humu lipo sana yapo mashoga mawili humu ukikutana nao kwenye thread zinazopinga ujinga huu wakianza kuwakera ninyi mnaowakataa utatamani u-log out kwa jinsi wanavyoandika upumbavu,wanajiita kabisa mume na mke na kuweka viji-omoj vya mapenzi ukiwatukana BAN unakula wewe unayewapinga wao wanabaki wakieneza ufirauni wao lakini kiuhalisia hawa ilibidi day one tu walipoanza maudhui ya ushoga wale life BAN unfortunately humu wakufanya hivyo hawapo.
Kiukweli kuna Watu mnapenda kujipa kazi sana,
Hivi hata mambo ya mitandaoni mnaumizwa nayo kiasi hiki jamani!?
Kama wakerwa sana na kitu jiepushe nacho, hupendi kuwaona hao humu JF basi jitoe wewe ili ubaki na Amani,

Dhambi ya Ubaguzi ni mbaya na hua haina kikomo,
Kuna single moms humu hutukanwa kila leo, kuna wale wa Dini hutukanana kila leo, huko kwenye Siasa ndio balaa, sasa wewe kuliko kuamrisha wenye Forum wawafungie watu usiowataka ni aidha wewe ujitoe au usishiriki kabisa kwenye mada za namna hiyo,

Ila ajabu kila Mada za Ushoga nawe umo, sijui wataka tukueleweje.
 
Sema tu docta, tunao wanasheria wengi hapa jf[emoji38][emoji38].
Mi ndo maana watu wakikaza shingo kupinga ushoga naona kama wanapoteza muda wao bure. Hii kitu ina baraka za serikali . Na viongozi wengi ndo mabasha wenyewe
Hehehehe mbona Wanasheria wa JF, ila kaa ukijua tunapokea mgao kila mwaka kwa wahisani wa [emoji304] jiulize sasa kama pesa tunachukua nguvu ya kukemea tunaitoa wapi kwa mfano
 
Kiukweli kuna Watu mnapenda kujipa kazi sana,
Hivi hata mambo ya mitandaoni mnaumizwa nayo kiasi hiki jamani!?
Kama wakerwa sana na kitu jiepushe nacho, hupendi kuwaona hao humu JF basi jitoe wewe ili ubaki na Amani,

Dhambi ya Ubaguzi ni mbaya na hua haina kikomo,
Kuna single moms humu hutukanwa kila leo, kuna wale wa Dini hutukanana kila leo, huko kwenye Siasa ndio balaa, sasa wewe kuliko kuamrisha wenye Forum wawafungie watu usiowataka ni aidha wewe ujitoe au usishiriki kabisa kwenye mada za namna hiyo,

Ila ajabu kila Mada za Ushoga nawe umo, sijui wataka tukueleweje.
🚮
 
Back
Top Bottom