BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Kweli.Nani katoa mamlaka ya sisi kuhukumu?,Mungu kamleta kama ME na yeye kaamua kuwa KE ,mimi na wewe inatuhusu nini kuhusu uamuzi wake huu binafsi?,tutafute fedha kwanza wakuu
Kuna mahakimu wengi sana humu.