The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Kama
SubirUshoga sio miongoni mwa mambo yanayoweza kumalizwa kihuni.
Haujafikia hiyo tija.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SubirUshoga sio miongoni mwa mambo yanayoweza kumalizwa kihuni.
Haujafikia hiyo tija.
Jamani shida ni Nini Sasa?tamaa ya pesà ,hulka au Ndo mwisho wa Dunia?Mkwe wale watu wako wengi sana. Kinachouma ni wakaka wa haja. Kuna rafiki zangu wa kiume wako kwenye chama nikipost picha wadada wananiombaga namba nawaonea huruma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Ishu ya ushoga wanasiasa wasijiingize kichwakichwa
Kimba maviiiiiiKuna kimba lina andika upupu sana kwenye huu uzi
Hata mimi sielewi shida iko wapi maana ninaowajua wana maisha mazuri, wanafanya kazi ofisi nzuri ila ndo wako tu chamani na wakilewa hawajifichiJamani shida ni Nini Sasa?tamaa ya pesà ,hulka au Ndo mwisho wa Dunia?
Na unavoposti mahandsome sasaa
Wazazi tuombeana sana. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume. Wote wanaharibika. Wote wanaharibikiwa jamii inaingia kwenye mtanziko mkubwa. Kizazi kijacho kiko mashakani
Wasanii wetu ni role models wa vijana wetu. Vijana wetu, watoto wetu hutamani, huwa na ndoto za kuwa kama fulani, kuna hatari kubwa sana kupotosha na kupoteza wengi kama msanii ama mtu maarufuvakiongea kitu
Hapo mwanzo tulizoea vijana barobaro wakijitangaza mitandaoni kuwa wao ni mashoga..haikuwa mbaya sana kwakuwa hawakujulikana na wengi. Leo hii anjitokeza kijana wa kiume wa msanii maarufu anajitangaza hadharani kuwa yeye ni shoga ana anajivunia (ushoga[emoji24]). Huyu ana followers wangapi Yarab toba!
Kipenga cha kujitangaza live kimepulizwa rasmi Tanzania, viongozi wanapiga kimya kama hawaoni.. Tunapoteza kizazi kijacho.
Ushoga umetamalaki nchini lakini mamlaka hazina nguvu hata chembe ya kukemea.. Madhara ya kukubali mikopo na misaada yenye masharti kificho.
Lifestyle wanayowalea na kuwakuza watoto wao hawa tunaowaita wasanii maarufu Tanzania ni janga kubwa.. Hafundishwi kuwa wanaume kamili hawafundishwi ukakamavu.. Wanalelewa kuwa wanaume wa kike ama wanawake wa kiume... Wengi wakilelewa na mzazi mmoja.
Hakuna wa kukemea zaidi ya sisi wapiga kelele mitandaoni. Tuhamasishane sisi wazazi wa huku kuwalinda vijana wetu, tuongee nao tuwe nao karibu tuwachunguze kwa karibu mienendo yao, marafiki zao n.k
Tunataka nasi tuache mbegu itakayomea na kuendeleza kizazi. Tupunguze harakati za kimaisha tutenge muda wa kutosha kuwa na vijana wetu. Hali ni mbaya sana.
Kampeni ya kataa ndoa ni kampeni ya kishenzi, isipewe nafasi haina malengo mazuri kwa maisha ya kesho na wengi wameivamia kwa ujuaji tu wa kitoto. Hawajui matokeo yake!
Madhara ya hii kampeni ikiachwa imee yataonekana soon. Huko mavyuoni hali ya ushoga na usagaji ni mbaya sana huko kwenye mitandao ya kijamii ndio usiseme.
Kijana anamaliza chuo ni msagaji, kijana anamaliza chuo ni shoga! Kuna familia tena hapo? Kuna ndoa tena hapo? Kuna future tena hapo?
Kama mtoto wa Monalisa kajitangaza akamewe wazi na awe ni wa mwisho. Hili likiachwa janga kubwa linakuja. Zamani tuhuma za aibu za ushoga zilikuwa maeneo ya mwambao. Siku hizi mpaka chuga ni kama fasheni
Inauma sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule wa mawasiliano mkwe. Siku hizi nimechoka kushangaa maana hata usiemdhania nae yuko chama kisicho na rais
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu weuweeeeee!!!Mkwe wale watu wako wengi sana. Kinachouma ni wakaka wa haja. Kuna rafiki zangu wa kiume wako kwenye chama nikipost picha wadada wananiombaga namba nawaonea huruma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu weuweeeeee!!!
Nimechekaa kuna mkaka hapendi wanawake, yeye ana deal na bottoms tyuuh, sasa siku hyo nkampost status tsup.
Wadada walijaa DM, nlicheka had baas ile siku. Lol
Moderators ndo tatizo.Huyu shoga kila post yupo anacomment. Hajapata wa kumchana humu?