SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Masingo maza wenyewe wanasema kwani kitu gani wao wanashindwa kuwapa watoto wakidhani kila kitu kinamalizwa na hela, japo hela ni kila kitu...Matokeo ya malezi ya single parent[emoji848][emoji2827]
Uwepo wa baba kunamfundisha mtoto wa kiume ile MANHOOD na FATHERHOOD...
Hakuna shule ya kuwa baba wala kuwa wa kiume,, ni kitu ambacho mtoto anakiona kwa baba yake katika Maisha yao ya Kila siku kwenye familia..
Kule kupotoka kwa wachache hakuondoi ulazima wa baba kuwepo...
Ni kama haya mambo ya Kitchen Party kwamba haina msaada wowote kwa Mwanamke, ni kwamba Mwanamke anakwenda ku-practice kile alichokiona mama yake akifanya na si eti siku Moja ya Kitchen Party ije imfundishe...