Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Matokeo ya malezi ya single parent[emoji848][emoji2827]
Masingo maza wenyewe wanasema kwani kitu gani wao wanashindwa kuwapa watoto wakidhani kila kitu kinamalizwa na hela, japo hela ni kila kitu...

Uwepo wa baba kunamfundisha mtoto wa kiume ile MANHOOD na FATHERHOOD...
Hakuna shule ya kuwa baba wala kuwa wa kiume,, ni kitu ambacho mtoto anakiona kwa baba yake katika Maisha yao ya Kila siku kwenye familia..
Kule kupotoka kwa wachache hakuondoi ulazima wa baba kuwepo...

Ni kama haya mambo ya Kitchen Party kwamba haina msaada wowote kwa Mwanamke, ni kwamba Mwanamke anakwenda ku-practice kile alichokiona mama yake akifanya na si eti siku Moja ya Kitchen Party ije imfundishe...
 
Hawa hapa
IMG-20230309-WA0114.jpg
 
huyu naye ana akili timamu kweli au ni mwendawazimu fulani hivi msafi. Kuzaa anazaa kwa kuwa ana kiungo cha uzazi anazaa na mwanaume yeyote na kulea analea peke yake malezi ya kishenzi kama anavyoonekana. Mtoto atakua ataona mavazi ya kishenzi aliyovaa mama yake
Matokeo yake ni haya
IMG-20230309-WA0114.jpg
 
Br. Mshana niliwahi kusema mahali hii agenda ni kubwa mno.. Na Sasa hivi ndio inafanyiwa promo wengine wanalipwa, wengine ndio hulka Yao na wengine wafata mkumbo pasina kujua..

REJEA haya...

1) Kuvuja kwa video ya yule afande na watu maarufu wengine kwa picha za utupu (nini kilifuata kwa hatua zaidi mpaka Sasa)

2)Kampeni ya kataa Ndoa

3) Fashion za kimagharibi (kihanithi ) kwa watoto wakiume

4) Tamko la Mufti limefanyiwa kazi na viongozi wangapi mpaka Sasa

5) ONGEZEKO LA sheria na sera Mbovu kuiua taasisi ya ndoa.

6) Mfumo wa unyonyaji wa kumkandamiza mwanaume unaoitwa 50/50 lengo ni kuwasahaulisha wanaume majukumu yao katika jamii .

Yapo mengi Mkuu , ila nakukumbusha kaka, SODOMA na GOMORRAH adhabu haikufika kwa wenye hatia peke Yao.

Tuunde thread ya kujumuisha wanaharakati tutaokuwa tayari kupinga hili kwa vita ya "kufa na kupona" "DO OR DIE" nchi nzima .

Nipo kwenye PM Yako Boss .
 
Hawa jamaa ni wakorofi na tunawajua Hila zao ...wamekaa kukejeli kwa kuonyesha chuki zao
Hilo swala halitoweka weza kuisha kamwe mimi zamani nilikuwa napatwa ghazabu sana na watu wa namna hiyo kuenda nao chuma kwa chuma ila sasa nimejufunza kujibu pale kwenye ulazima nikiona kwamba kilichoandikwa kikiachwa kitaleta upotishaji Mkubwa baada ya kurekebisha nikiona yeye ni amekalia shari huwa namuaacha .

Na kuna ID maalaumu wakina Mokiti,Jiwe angavu,MK254 na wengineo hawa sijadiliani nao kabisa nikijaribu sana mwisho comment mbili tu coz najua tutaelekea kwenye matusi na kejeli .

Nilichojifunza kwa vile siwezi kukoconrtol kwa wanayofikiri na kutamka inapaswa kustahimili na kuendelea na yangu ,kwani hata Mtume Muhammad (upon him be peace and blessings of Allah) aliiywa majina mengi mabaya mbele yake na Washirikina wa Makkkah hadi Qur'an ikawa inakanusha katika aya zake kuwa yeye sio ,mwendazimu,kuhani mchawi ,mpiga ramli ,mara anaota ndoto za hovyo ,mara Qur'an kauli ya Shetani nk yeye akasubiri kwa wema mpaka haki ilipothibiti.

Na zikashuka aya za maliwazo
images.jpeg
 
Na zikashuka aya za maliwazoView attachment 2547134
Mashallah!

Hawa jamaa Wana agenda nyuma yao kwa vile kwanza hawajiamini ...kingine kuelea Ramadhani nyuzi zitakuwa nyingi .

Yaani wamebeba chuki kubwa sana
 
Yah ni ukweli mtupu hilo tutarajie kabisa na kuchukua jambo ni dalili ya imani kwani kinyume cha kuchukua ni kufurahia ambalo ni jambo baya ila kwa vile tunajua fika hali halisi inatupaswa kujifunza na kujiandaa kisaikolojia kuzoea na kukabili kwa uadilifu na upole pale panapostahiki.

Mimi zamani nilikuwa napaniki sana nikukutana na watu wa namna hiyo mpaka matusi nilikuwa natukanana nao ila nikajiuliza kwa nini nijitese na kitu ambacho sina mamlaka nacho ? sasa nachukia kiasi bila kujiumiza wakati mwingine nacheka tu(sio kwa kufurahia vutendo vyao) kisha napuuza na kufanya yangu na hii ndio mood yangu siku hizi.
 
Madhara au matokeo ya chemical zinazowekwa ktk maji, ktk madimbwi ya maji, zimebadili mifumo mzima wa vyura.

Vyura madume wameanza ku behave kama majike, haija ishia hapo, Hormone za vyura hao zimevurugika hadi kuanza kutaga na mayai kama majike.

No wonder, kuhusu kaka zetu ambao wanahisia kabisa kama wanawake au hata kuwa na maumbile au viashirio kama vya kike, ama dada zetu kuwa na vitu vya kiume.

Ishu ni mfumo umevurugika, na hii huweza tokea randomly, sio lazima ktk sample 100, basi wote walio kuwa ktk mazingira hayo basi wote waathirike na hiyo.

No wonder sikuhizi watoto vinavyo tamani au kujiona kama jinsia nyingine wamekuwa wengi.

Naweza sema kwa asilimia kubwa , tusi msingizie MUNGU,yaweza kuwa kazi za mifumo na watu.

Credit: merengo
 
At least hapa kuna hoja ya msingi.
 
Back
Top Bottom