Watoto wadogo ndani ya hijab

Hili suala huwa lina-ambatana na unafik mkubwa sana for instance mtoto anavaa hijab akiwa anaenda shule au sehemu mahasusi akitoka hapo nyumban havai hiyo hijab wala nn.
Sasa hapo unafki upo wapi mtu anatakiwa ajistiri akiwa public akirudi nyumbani yupo na nduguzake anaruhusiwa kutoa hijab, hiyo ni sawa kabisa sasa hapo kinachokuuma nini , elimu yetu inazalisha watu wa hovyo sana , hivi hijab avae yule kuumia unaumia wewe aise
 
Vipi hawa wamevaaje?
Nyuso (masikio, macho, mdomo, pua ) vyaonekana ..... wapanga kwa gari wakuta mtu amejifunika na kuvaa miwani... ole wako usinzie, waweza kuta umeegemea dume na denda lakutoka
 
Jamani

Good afternoon!
 
Nyuso (masikio, macho, mdomo, pua ) vyaonekana ..... wapanga kwa gari wakuta mtu amejifunika na kuvaa miwani... ole wako usinzie, waweza kuta umeegemea dume na denda lakutoka
Si kitu kilekile tu ni hijab ni aina tu ya uvaaji ila husikii mtu akipiga kelele ila akivaa muislamu kelele na matusi , utaafikiri umevalishwa wewe
 
Hijabu anaveshwa mtoto wa mtu mwingine halafu mtu Baki anabaki anateseka, maajabu sana.

Dunia iko na watu wengi mno! sidhani kama unamudu kuwaendesha vile wewe unataka.

Potezea, watoto wa mjini wanasema Fanya yako
Mwambie pia hijab/baibuini fasheni asiteseke sana ata yeye anaweza kuvaa pia[emoji23][emoji23]
 
We jamaa umekula bangi nn?, sheria za dini ya watu ambazo ww huzijui unaanza kuzijadili za nn?, acha hayo mambo kabisa
 
Ujinga tumeumbiwa sisi weusi.
Inasikitisha watoto wanabanwa na joto, wanapambania elm ahera.
 
We jamaa umekula bangi nn?, sheria za dini ya watu ambazo ww huzijui unaanza kuzijadili za nn?, acha hayo mambo kabisa
Kesho ukikatwa panga kwa kosa lolote pia usilalamike dini za wengine sawa😂😂😂
 
Udini utakuponza
 
Haya mambo ya mtu kufanyankitu kwaajili ya dini yake visiwaumize ilimradi hakuumizi ww. Maswala ya imani yanawakaa watu kiasi kwamba huwezi badili misimamo yake. Mimi ni mkristo ila sioni tabu wakijifunika kuanzia kichwa mpaka miguu
 
Papa sio Kiongozi wa wakristo, ni kiongozi wa Wakatoliki... Kumbe wewe ni mkatoliki mnapumuliana tu, na wewe wanakupumulia tu? Maana umeandika mnaruhusiwa kupumuliana, mmepuliwa mara ngapi
Ukatoliki ndio ukristo hao wengine kina nani Anglikana wameanza kitambo tu kunakanisa linakataza kupumuliana??? Pambana na Hijabu ikatazwe...
 
Ukatoliki ndio ukristo hao wengine kina nani Anglikana wameanza kitambo tu kunakanisa linakataza kupumuliana??? Pambana na Hijabu ikatazwe...
Wewe unaujua ukristo au tukuite wa kukurupuka? Wakatoliki hawana maamuzi dhidi ya madhehebu mengine. Na kwenye ukristo hatulazimishani, na papa sio mkuu wa kristo, ni mkuu wa dhehebu la wakatoliki. Japo sisi wote ni Dini moja na tunaongozwa na biblia, tunatofautiana kwenye kuitafsiri tu kwenye baadhi ya mambo
 
Unataka uwapangie cha kufanya? Mbona una wivu wa kike hivyo?
 
Mama yako anavaa vimini?
Vipi mama yako nae anafanya huo mchezo?
 
Reactions: Tui
Wewe kobe nikisema nyumban namaanisha mazingira yaliyomzunguka mtaani etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…