Watoto wadogo ndani ya hijab

Sasa wewe kinakuuma nini mimi nikimvalisha mtoto wangu hijabu? Tangu lini tumeanza kupangiana mavazi ya watoto wasio kuhusu?
Na wewe si una watoto wako ambao wanatembea uchi wamevaa skin tight mbona sisi hatukupangii cha kuwavalisha? Watoto kutembea kichwa wazi sio kazi yangu mimi wala hayanihusu iweje wewe upate uchungu kwa mtoto wangu kuvaa hijabu? Wewe ndio umemzaa au unamlisha mtoto wangu mpaka unipangie?

Nyie wakristo bhana ni watu wa ajabu sana! Nyie hamuifati dini yenu lakini roho zinawauma sana mkiona waislamu wanafuata dini yao. Hebu niambie huo uchungu wa sisi waislamu kufuata dini yetu nyie kinawauma nini? Na nyie fateni maamrisho ya dini zenu bhana tusiingiliane kwenye privacy zetu haziwahusu. Nyie pambaneni na ushoga huko makanisani kwenu

Hijabu anavaa Mh Raisi sasa endelea kununa mpaka upasuke kabisa manake kila kona kuna picha ya Raisi wa nchi kavaa hijabu..
 
Children labdda mwenzagu huoni tofauti
Nimekemea watoto wadogo kulazimishwa kuvaa izo hijab sijakataa wala kulalamika watu wazima
Unamkemea mtoto wangu wewe kama nani kwa mfano? Ndugu hebu fuata mambo yako yasiyokuhusu achana nayo. Hicho huwa tunaita kiherehere na kwa wanaume ni aibu sana kuwa na kiherehere kwa yasiyo kuhusu..wewe mvishe mwanao bukta hamna atakayekuuliza. Achana na dini yetu haikuhusu wala usijitie kuwasemea watoto wetu tuliowazaa wenyewe hawakuhusu hao.
 
Wengi wanaovaa kobaz akili ndogo,
Japo wenyewe ujionaga sijui maniniii
Wewe mwenye akili kubwa zinakusaidia nini kutembea uchi?
Nyie tumewazidi mengi sana nyie hata kuchamba tu hamjui mnatembea na mavi ma...koni..
Uislamu pekee ndio dini inamfundisha mtu mavazi na kujisafisha..tuachieni dini yetu haiwahusu. Fateni dini yenu hiyo isiyo na kichwa wala miguu
 
Kama unahisi kuvaa hivyo ni ushamba na kwenda kanisani mapaja wazi ndio usasa basi una tatizo la afya ya akili.
I give up; Tanzania akili mavi kabisa; me nasema watoto mijitu bado inakazana watu wazima no wonder even child marriage mnaona sawa tu.
 
Hamna utukufu wowote kw mavazi; utukufu au utu wema upo moyoni. Kuna wachafu kibao bado na hayo mavazi yao?
 
Yaani hawa watu wa ovyo bwana; so mtoto mdogo kutolazimishwa kuvaa hijab ndo kutembea uchi??? Pumbaf kabisa na hata asipovaa iyo hijab so wewe ndo utamtamani sio???😳😳😳 unatia kichefchef tu
 
Nani amechagua huo uislam au dini nyingine yoyote wakati mtoto anazaliwa mnaanza project iyo kumvisha hijab, madrasa mpk anakua. Huo muda wa kuchagua kapata wapi? Dini zote 99% zinarithiwa na si kuchaguliwa na yes zote zimetengenezwa na binadam unless ulikuwepo uko miaka 1400 iliyopita na ukamuona bwana Mo akipokea izo aya na uyo malaika ambaye anaongea kiarabu tu katika lugha elfu na( na otea wap?😂 Uarabuni) na alivyokufa akapaa mbinguni na farasi wa kupaa... km ivyo km stori za bikira maria au yesu zote mmerithi na hamna ushahidi. So unarudia mantra tu.
 
Usitupangie kila mtu na afanye anachoona kinampendeza na kumfaa.
Acha makasiriko.
 
Well said, Waafrika wengi ni wajinga sana, dunia hii ya leo ya uwazi na ukweli kutotaka kujuwa ukweli ni ujinga uliopitiliza kwa kweli. Hivi hawa wazazi wanaowavalisha watoto wao hijab au hata wao wenyewe wanajuwa kwanini wanawake wa Kiarab wanavaa hijab? Tusiposoma kamwe hatutoweza kutoboa kimaisha, ni ujinga kuvalisha watoto magunia vichwani wakati wao si Waarab.
 
Nakubaliana na wewe 100% wewe km wewe mtu mzima ila mtoto😩😩😩😩 anyway hayo maoni yangu tu
Usitupangie kila mtu na afanye anachoona kinampendeza na kumfaa.
Acha makasiriko.
 
Historia yenyewe tu has to do with woman has to cover her brains because Eve ate from the tree of knowledge hence knowledge became a sin symbolically na iyo imetoka from Uyuda kabla hata ya Uislam plus hijab kwa wanawake wenye nywele ndefu works kwa watu wenye nywele km wazungu sio Afro zetu zikiwa juu na ukiachia sio rahisi mpk ubane thats why cc viremba au turban ndo were popular
 
Kasome tena kaka
 
Mtoto wangu, hijab nimenunua Mimi sikukuomba hata senti moja, Nina mvisha mwanangu si wako, sikupangii na wewe usinipangie, Biblia huilewi Qur an utaiweza? Fuata yako ya hijab hayakuhusu
 
Hajabu wananchi wetu hawataki kujuwa ukweli wao wanaona sifa kuiga tu vitu bila hata kujuwa ukweli. Utashangaa unakuta mtu mzima na kasoma eti anavaa hijab huku akiona sifa. Kwa Waarab na watu wa Mashariki ya Kati kuna umuhimu wao kuvaa hivyo kutokana na jiografia yao. Sheikh yeyote anayehimiza wanawake wa Kiislam kuvaa hijab huyo ni mpuuzi na hajuwi ukweli.
 
Mtoto wangu, hijab nimenunua Mimi sikukuomba hata senti moja, Nina mvisha mwanangu si wako, sikupangii na wewe usinipangie, Biblia huilewi Qur an utaiweza? Fuata yako ya hijab hayakuhusu
Sawa; pia ukiamua kumbaka au kuangalia naye porno pia fanya; c mwanako? Pia ukiamka na kujisikia kumkata masikio kupata juice pia fanya; ni mwanako🤐🤐 nisamehe mimi Kafir🤐🤐🤐
 
Nyie matahira mbona mnashupaza shingo kwa vitu msivyovijua.
 
Business as usual, wavaa rozari wengi ni mbumbumbu hasa hawa wa humu ..mmeishindwa kuitoa ccm madarakani Sasa mnahangaika kuuchafua uislamu.

Ajabu sisi waislamu hatuna muda wa kuhangaika kuandika kuhusu ukristo wenu,hatuwezi kujadiliana na wapotevu mpk warudi katika haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…