Watoto wadogo ndani ya hijab

Hiyo haki ni ipi? Inabidi uelewe kitu kijana, Wakristu si watu wa kuindoa serikali yeyote madarakani hilo ni jukumu la kila Mtanzania pamoja na wewe ujifanyaye Mwarab koko.
 
Kuhusu Hijab, Kikwete umemuonea; hijabu ziliruhusiwa enzi za utawala wa Mkapa. Wazee na viongozi wa Kiislam ndio walimuomba Mkapa hilo la wao kuruhusiwa kuvaa hijab then akawaruhusu; before that ulikua ukienda shuleni or ofisini ulikua huwezi kumjua mtu Dini yake kwa mavazi; hu upuuzi umeanza katikatika ya miaka ya 90. Kibaya zaidi, wanawake wa Kiislamu tunajiliaga tu huku kwenye ma guest houses, anavaa hijabu ili akipita kuelekea guest asijulikane. Upuuzi tu
 
Umenena vyema sema hilo la Guest House halina dini , ngono na uasherati hauna dini.
Suala la kuvaa nguo zinazo ashiria dini fulani ni baya sana, mtu akifika kuomba huduma ama kupata huduma fulani na akaona kuna mtu wananana ki-imani na akampa ile salamu basi lazma atapata upendeleo, hili limekaliwa kimya lakini ni baya sana.
Si
 
Sitaji dini ya mtu, watu, ya kuletewa na kupelekewa ila wapendwa tujue tu kwamba DINI ZA MAJAHAZI ZIMETUHARIBU SANA, siku tukirudi factory setting tutatambua.
Huu upuuzi wa kulazimisha watu wasioe sijui mzungu gani kasema, watu wajifunike sijui mwarabu gani kasema ni utumwa na kabla ya kudai katiba tuondokane na huo upuuzi.
 
Umeanzisha mada na umeimaliza mada.
Atakayeingiza ujuaji wake hapo ni mpumbaf.
 
I know halina dini mkuu, ndio maana mie ambae sio wa dini yao nimefanya ngono; what I meant is, "vazi limekuja kusaidia kujifichia madhambi" yaani mvaaji anavaa kwa lengo la kujificha asijulikane na watu
 
Zaa Wako Usiwavalishe Dada AchA wenge kwani joto anaona Mama Ako au Mumeo?Acha kuingilia Imani za Watu Kima wewe .
 
Zaa Wako Usiwavalishe Dada AchA wenge kwani joto anaona Mama Ako au Mumeo?Acha kuingilia Imani za Watu Kima wewe .
Hapa wazungu na waarabu ndio waliingilia imani zetu, hatukuwa na chuki kati ya mwafrika na mwafrika, umeona eeh!
 
We hunA Akili unadhani huu upumbavu wako umetoka nao wapi ni toka uko mdogo wAzazi wakO ndo wamepanda mbegu hii kichwani mwako toka kitambo na bila kubatizwa ungekufa mwislam ndo maana wAzazi wako wakakutia kwenye Ukafiri ungali mdogo Kenge bluu.
 
Kafiri Kazini kwako.ndo maana Mtume Paulo akaamua zake Amiminwe.
 
We Mama ndo ameonyesha jinsi gani inatakiwa watoto wa kike wavalishwe hijab bila hivyo ukubwani watakutana na wanaume saizi ya Baba Ako watafanya ngono watazaliwa Mtoto Saizi yako utakuja kwenye mitandao na kuanza kubweka bweka na kufanya tunaotumia mitandao hatuna Ubongo tuna tope la maji ya chooni.
 
Hamna utukufu wowote kw mavazi; utukufu au utu wema upo moyoni. Kuna wachafu kibao bado na hayo mavazi yao?
Akili za Makafiri bhana we umedanganywa na Paulo mzee wa kumiminwa hivi ukiletewa Mtu mmoja ana Tattoo Amevaa Kata K na Mtu mwingine amevaa suti ukaambiwa inatakiwa umkabithi pesa zako apeleke benki nani unaweza kumwamini na kumpa pesa Zako?
 
Uzuri kwenye Quran tumeshaambiwa jinsi ya kuishi na makafiri Tena tumeambiwa 'Hawatokuwa Radhi Mayahudi nA Manaswara Mpaka mfuate Mila Zao'mwisho wa kunukuru!Kwa Asiye elewa Naswara ni Mkristo au kafiri asiye amini Mungu Mmoja.
 
Hata Mama Ako Sio Mkweli Alipomsingizia Mimba Yako BabaAko.
 
Kwani Nyi Makafiri hivi Wanawake wa kikristo Hawaliwi Au Hawana Thamani?Inaonekana ni fahari kula Mwanamke wa kiislam.
 
Utakapo maliza kuandika huu upupu wako Achana na vitu vyote vilivyoletwA na Majahazi Tunategemea hata nguo utaachana nazo na kuanza kuvaa magome ya miti kwa Akili yako inaniambia wote mnaojifanya hamna dini ni Wakristo mliokata tamaa na dini yenu mnataka kuwaamjnisha vijana wa Kiislam kwanba dini ni upuuzi Hii kampeni inakuwA Kwa kasi Sana Ila Hamtafanikiwa kamwe.
 

Kwani wewe una mtoto? inakuuma nini kama hao wazazi wanawavalisha hivyo watoto wao? Wewe cha kufanya usiwavalishe hivyo wa kwako kama unao.

Je unaamini kuwa tunatakiwa kuvaa nguo? Yote ni mavazi tu hata hayo ambayo wewe unaona yako sawa. Kama akivaa mavazi yake wewe hutokwi upele, mwache avae hata kama anaungua, akiwa mkubwa na akaamua kuacha kuvaa sawa.

Kikubwa wewe jali mambo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…