Watoto wadogo ndani ya hijab

Watoto wadogo ndani ya hijab

Yaani tangia Kikwete aruhusu wazazi wa kiislamu watoto wao wawavalishe hijab basi watoto wadogo wengine hata kutembea mtu amemvalisha hijab na ya kubana kabisa na joto hili😳😳😳 kwanza shule za serikali viishilio vya dini haviruhusiwi km mkufu etc lakini bado hawa wamekazana. Ujinga wa wap huu?

Dini iwe yako na umuache mwanamke mtu mzima aamue kuvaa huo ushungi; unaanzaje to impose mtoto mdogo this? Waafrika wengi wajinga na hata dini yenyewe hawaielewi; kwana hijab au hata niqab hazijatajwa popote kw Quran; tena Niqab, Burka or Ninja ya Taliban ndo hazihusiani kabisa na Uislamu bali ni mautamaduni ya watu waishayo kw janga uko kuwalinda macho na nyuso kw gharika la vumbi ila cc waafrika km kawa kuiga tu ni sawa tuvae makoti mazito na joto hili.

Pili hijab pia haitajwi bali Quran imesema kuvaa vizuri au dress modestly which naweza kuelewa kuvaa nguo isiyo chini ya magoti, nguo ya kubana, mipasuo, kuwa kifua wazi, top, bikini etc ila km kawa hijab imekuja ila ni utamaduni hadi Saudi Arabia imeruhusu wanawake wasivae hijab km hawataki na haiwalazimishi tena km Iran au Afghanistan ila kuna mizazi mijinga tu italazimisha watoto wavae.

Niulize swali kwa wanaume walionyooka; ivi mwanamke akipita unaconcentrate kw nywele au matiti, makalio, hips, mapaja au uso? Yaani mdada akivaa hijab na uku chini bikini italeta diff gan; km iyo haitoshi nani anaweza mtaman mtoto mdogo hata akiwa uchi unless ni pedophile tu? Upuuzi mtupu hapo wanataka wamprogram uyo mtoto ili awe guilty akija kuvua.

Ukweli utabaki kua ukweli tu hata kama majority ya watu hawautaki, kuvaa kwa kujistiri ni agizo la Mungu,
Huwezi sema mwanamk avae hovyo alaf awe na tabia nzur, hiyo ni automatic, kwasbb "anaejiheshim hawezi kuvaa hovyo" (wala haimanishi kila anaevaa stara ana tabia nzur) lkn kua na tabia mbaya sio kigezo cha kwamba asivae stara. Tabia zinabak kua za mtu binafsi, wanaovaa stara wasikashifiwe, wasiovaa stara waelimishwe lkn wasilazimishwe.
 
Attachments

  • FB_IMG_1613541978515.jpg
    FB_IMG_1613541978515.jpg
    55.7 KB · Views: 1
Pope hajasema ushoga si dhambi kw ukristo amesema ni dhambi amesema tu waacheni waishi maisha yao kwani kiuhalisi hawamdhuru mtu hence not a crime legally ila kwa dini bado dhambi. Acheni kumsingizia vitu ambavyo hajasema just for propaganda tu
Sahihi, wafia dini wanautumia ushoga kama kichaka cha kujifichia.
 
Yaani tangia Kikwete aruhusu wazazi wa kiislamu watoto wao wawavalishe hijab basi watoto wadogo wengine hata kutembea mtu amemvalisha hijab na ya kubana kabisa na joto hili😳😳😳 kwanza shule za serikali viishilio vya dini haviruhusiwi km mkufu etc lakini bado hawa wamekazana. Ujinga wa wap huu?

Dini iwe yako na umuache mwanamke mtu mzima aamue kuvaa huo ushungi; unaanzaje to impose mtoto mdogo this? Waafrika wengi wajinga na hata dini yenyewe hawaielewi; kwana hijab au hata niqab hazijatajwa popote kw Quran; tena Niqab, Burka or Ninja ya Taliban ndo hazihusiani kabisa na Uislamu bali ni mautamaduni ya watu waishayo kw janga uko kuwalinda macho na nyuso kw gharika la vumbi ila cc waafrika km kawa kuiga tu ni sawa tuvae makoti mazito na joto hili.

Pili hijab pia haitajwi bali Quran imesema kuvaa vizuri au dress modestly which naweza kuelewa kuvaa nguo isiyo chini ya magoti, nguo ya kubana, mipasuo, kuwa kifua wazi, top, bikini etc ila km kawa hijab imekuja ila ni utamaduni hadi Saudi Arabia imeruhusu wanawake wasivae hijab km hawataki na haiwalazimishi tena km Iran au Afghanistan ila kuna mizazi mijinga tu italazimisha watoto wavae.

Niulize swali kwa wanaume walionyooka; ivi mwanamke akipita unaconcentrate kw nywele au matiti, makalio, hips, mapaja au uso? Yaani mdada akivaa hijab na uku chini bikini italeta diff gan; km iyo haitoshi nani anaweza mtaman mtoto mdogo hata akiwa uchi unless ni pedophile tu? Upuuzi mtupu hapo wanataka wamprogram uyo mtoto ili awe guilty akija kuvua.
Aliewaita MAKONDOO hakukosea
 
Pope hajasema ushoga si dhambi kw ukristo amesema ni dhambi amesema tu waacheni waishi maisha yao kwani kiuhalisi hawamdhuru mtu hence not a crime legally ila kwa dini bado dhambi. Acheni kumsingizia vitu ambavyo hajasema just for propaganda tu
Na mpaka uthemee
 
Miaka ilee wazungu walivaa hivi
picha ya juu ni miaka 100 iliyopita

a05443bc9526961000e6e77400e642fe.jpg
Screenshot_20241024_172358_Google~2.png
 
Nimelalamika watoto wadogo kuwa imposed sio wanawake watu wazima. Sawa sawa kukataa pedophilia na sio consensual sex kati ya watu wazima. Msomage hadi mwisho; hata kichwa cha habari kinasema watoto ndan ya hijab alafu nsyuka km nyie mnakuja kwa kukurupuka. Kuna masista wacatholic watoto wadogo?
Malezi ya mtoto yanaanzia akiwa mdogo
Unataka tumuache azoe kutembea na vikaptura ili akikuwa tushindwe kumuelekeza namna ya kuvaa?
Kwani wewe unathirika na nini mwanangu akivaa hijab?
Kila Imani na life style yake wewe endelea kuwafundisha wakwako wavae bikin
 
Mwinyi ndio alianzisha hijabu zivaliwe mashuleni katika utawala wake wa mwisho. Hijabu zikaja kutamalaki mashuleni kwenye utawala wa mkapa, hadi sasa ushungi/hijabu ndio utambulisho wa waislam mashuleni. Miaka ya nyuma akina mwajuma, asha, khairati, nusrat, habiba, nasra ilikuwa ni ngumu kuwatambua mashuleni kwani wanafunzi wa dini zote walivaa sare sawa
 
Hiki sio kipindi Cha kudate na wavaa hijab. Unakuta anamiguo Saba kuanzia chupi, skin tight, suruali, dera n.k.
Sasa hiyo harufu inayotengenezeka hapo makao makuu na joto hili.
 
Kwa wazungu kuna baridi ya theluji.
Lakini sio makoti hayo boss
Kweli walikuwa na njaa kali na maradhi mengi lakini uwezo na akili ya kutengeneza nguo za ngozi kwa ajili ya baridi walikuwa nayo
Lakini haya ni mavazi kabla shetani hajawaingia 😄
Ni mavazi waliyokuwa wanavaa zamani kwani ukienda 100 years ago utaona hata nguo ndefu walikuwa wanavaa
Leo pamoja na baridi hii ila mapaja na manyonyo wame displayed tuyaone
 
Malezi ya mtoto yanaanzia akiwa mdogo
Unataka tumuache azoe kutembea na vikaptura ili akikuwa tushindwe kumuelekeza namna ya kuvaa?
Kwani wewe unathirika na nini mwanangu akivaa hijab?
Kila Imani na life style yake wewe endelea kuwafundisha wakwako wavae bikin
Utamaduni na maadili yameachwa kwa wengi na sababu ni hizi
Mzazi mwenyewe yuko nusu uchi unategemea mtoto atakuwaje?
Mama mzima mapaja yako nje halafu anakuambia anaenda kwenye ibada hapo huwa sielewi kabisa
 
Kwangu Mimi mke wangu na watoto wangu huwa sikubaliani wavae nusu uchi kamwe
Na hilo ndiyo jukumu langu wakiwa wadogo
Wakikuwa Kama wataamua hivyo sitawapangia kikubwa nishatimiza wajibu wangu wa malezi wakiwa bado hawajaondoka kwangu
 
Mwenye mtoto wake amekuruhusu kumuanika mtoto wake?

Bongo tuna uhuru sana yaani mtu anakupost bila idhini yako.
Amemuanika vipi? Kwani ametaja jina au kuweka picha yake.
MBS (Princess Mohammed Bin Salman) alishasema wanawake waamue jinsi wanavyotaka kuvaa na siyo dini au wanaume kuwaamulia. Kazi iendelee.
 
Kwangu Mimi mke wangu na watoto wangu huwa sikubaliani wavae nusu uchi kamwe
Na hilo ndiyo jukumu langu wakiwa wadogo
Wakikuwa Kama wataamua hivyo sitawapangia kikubwa nishatimiza wajibu wangu wa malezi wakiwa bado hawajaondoka kwangu
Vizuri sana, na huu ndio wajibu wa wenye maadili
Huwa nashangaa unaona msanii eti kumvalisha nguo nusu uchi ndio wanaona ufahari
Watoto hawajui kitu halafu unamsuka mtoto wa kiume wanamuweka kwenye mitandao
Siku akikua akamuuliza kwanini umenifanya hivyo atajibu nini
Hatuna haki ya kuwafanyia watoto hivyo
Mimi naona hata kumpiga picha na kumuweka kwenye mitandao hilo sio ridhaa yake sasa kwanini umuweke
Kesho akiwa mtu mzima ndio kashashe linaanza
Tuwalee kwa maadili kiasi wapo mikononi mwetu
 
Uzuri kwenye Quran tumeshaambiwa jinsi ya kuishi na makafiri Tena tumeambiwa 'Hawatokuwa Radhi Mayahudi nA Manaswara Mpaka mfuate Mila Zao'mwisho wa kunukuru!Kwa Asiye elewa Naswara ni Mkristo au kafiri asiye amini Mungu Mmoja.
Mbona umesahau kujumuisha makafiri original, Waislam au Waarab wanaoamini Mungu zaidi ya mmoja?
 
Hata Mama Ako Sio Mkweli Alipomsingizia Mimba Yako BabaAko.
Watu wanaoamini majini bwana, wakiambiwa ukweli tu basi wako radhi kukashifu au hata kujiua kutetea uwongo na ujinga. Sasa hapa unaongea nini?
 
Back
Top Bottom