Watoto wageni mnaoingia humu onyoo tambueni hili...

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
Salamu wakuu,
poleni kwa shughuli,
onyo kwa memba wapya wanaoingia humu ndani.
Mmekuta maisha yetu mazuri tuuuu hatuna stress wala mawaaa ila mmekuja mnatuchafulia hali ya hewa mimi kama mimi msije mkaomba lifti mkapewa mkataka na kupiga raundi.
Tumewapokea ila mnataka kutufundisha maisha ya kuishi humu ndani jipangeni tena. Mfate vigezo na masharti ya huku.
Soma mchezo angalia watu wanaishije ndio mjue wanawezaje kukaa huku. Hamjui kusoma hata picha hamuoni.
Jieshimuni. Kwanza jueni maana ya CHIT-CHAT halafu ndio mrudi huku.
Hakuna mtu kakulilia shida, hakuna aliyekuomba msosi ya nini kufatiliana??
Nawasilisha,
copy kwa Asprin, Erick52, mamndenyi, nitonye, Bishanga, c6, madame b, mr. Rocky, slave, etc
 
Tena wape ilani ya chit chat stevoh
 
Last edited by a moderator:

Umemsahau watu muhimu sana kama vile gfsonwin, Arushaone, na watu8!
 
Dawa yao ipo jikoni inaiva siku si nyingi kuna mtego kabambe humu CHIT-CHAT wataondoka bila kuaga humu!
 
Yan stevoh natamani sana hawa jamaa niwaone kwa sura nione kama ni watu au wadudu maana watu wanautashi ila hawa lol matapishi tu!
Naomba watuache kama tulivyo wakija wafuate upepo wa huku na si kuja na ujinga wao.......!

BTW Nimemmiss sana mai waifu akija nijulishe mkuu!
 
hapo kwenye bold panahusu sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom