Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Hahahaa umeona eeehhapo kwenye bold panahusu sana.
Tunaweza kuwa tunapigizana kelele na mende lol
Hahahaa umeona eeehhapo kwenye bold panahusu sana.
Wanatuzingua tu kaka!nini tena kaka mkubwa?
Hata kwenye kiganja hawajai mkuu!Yan stevoh natamani sana hawa jamaa niwaone kwa sura nione kama ni watu au wadudu maana watu wanautashi ila hawa lol matapishi tu!
Naomba watuache kama tulivyo wakija wafuate upepo wa huku na si kuja na ujinga wao.......!
BTW Nimemmiss sana mai waifu akija nijulishe mkuu!
ukubwa wenu umeanzia umri gani? Si kila anaeingia leo ni mdogo ki umri!
Hahaaaa Vin Diesel niliona umenikaribisha kwenye bata la trh 26Erickb52 kagonganisha magari sasa hivi matrafiki wapo eneo la tukio.....hapa haji.
We mwenyewe ni under 18
Salamu wakuu,
poleni kwa shughuli,
onyo kwa memba wapya wanaoingia humu ndani.
Mmekuta maisha yetu mazuri tuuuu hatuna stress wala mawaaa ila mmekuja mnatuchafulia hali ya hewa mimi kama mimi msije mkaomba lifti mkapewa mkataka na kupiga raundi.
Tumewapokea ila mnataka kutufundisha maisha ya kuishi humu ndani jipangeni tena. Mfate vigezo na masharti ya huku.
Soma mchezo angalia watu wanaishije ndio mjue wanawezaje kukaa huku. Hamjui kusoma hata picha hamuoni.
Jieshimuni. Kwanza jueni maana ya CHIT-CHAT halafu ndio mrudi huku.
Hakuna mtu kakulilia shida, hakuna aliyekuomba msosi ya nini kufatiliana??
Nawasilisha,
copy kwa Asprin, Erick52, mamndenyi, nitonye, Bishanga, c6, madame b, mr. Rocky, slave, etc
Samahani stevoh lakini naomba kutafautiana nawe. Siyo swala la watoto au Utoto. Nathani nikosa kudai eti hili jukwa lina wenyewe. hapa ni mahala pa umaa,bora tuheshimiane jinsi tunavo jadili mada yeyote. Tukiwa vijana, maisha yetu kwa wingi yako kwa siku zijazo,tukipoteza muda kwa wakati huu basi nchi hii haiwezi endelea.Mutu akitoa ushauri kuendeleza hii nchi tusije tukawa na kumshambulia sana vile mumefanya leo. Sioni ujinga wowote hapo. Mimi nina huzuni kuona wazee ambawo hawataki kubadilika.Dunia inabadilika,tukitaka nchi isonge mbele lazima tuache zile tabia za uzembe na starehe. we have to work hard to build our country. Naomba Heshima na kuvumiliana katika mijadala hapa. Hamuna Mjinga wala mtoto humu. Wazee Dunia is not stagnant.
We mwenyewe ni under 18
shindo sha mbare mnama!!!
kuna watoto sijui mijitu mizima inataka kujua kwa nini tupo hewani muda wote akiingia humu ndani