Watoto wageni mnaoingia humu onyoo tambueni hili...

Watoto wageni mnaoingia humu onyoo tambueni hili...

stevoh mpaka sa hv mgeni wenu sijala nakunywa majuice tu chakula kiko wapi? mwambie mkeo marry Hunbig aandae bwana hata bila mboga sawa mi niondoke zangu.

hahahaha karibu mkuu sikua nimetambua uwepo wako kabisa ngoja nimwambie
 
Last edited by a moderator:
Samahani stevoh lakini naomba kutafautiana nawe. Siyo swala la watoto au Utoto. Nathani nikosa kudai eti hili jukwa lina wenyewe. hapa ni mahala pa umaa,bora tuheshimiane jinsi tunavo jadili mada yeyote. Tukiwa vijana, maisha yetu kwa wingi yako kwa siku zijazo,tukipoteza muda kwa wakati huu basi nchi hii haiwezi endelea.Mutu akitoa ushauri kuendeleza hii nchi tusije tukawa na kumshambulia sana vile mumefanya leo. Sioni ujinga wowote hapo. Mimi nina huzuni kuona wazee ambawo hawataki kubadilika.Dunia inabadilika,tukitaka nchi isonge mbele lazima tuache zile tabia za uzembe na starehe. we have to work hard to build our country. Naomba Heshima na kuvumiliana katika mijadala hapa. Hamuna Mjinga wala mtoto humu. Wazee Dunia is not stagnant.

umeongea vema mkuu ivi kweli kumbuka kuna watu zaidi ya laki moja humu ndani na sio wakati wote watu wapo online. Alafu kwa watu wanaofanya kazi maofisini wengi wanatumia computer kuwakuta online haishangazi alafu mtu hajui tunaishije anakuja kutoa conclusion kwamba hatufanyi kazi hayo ni makosa. Kama hatufanyi kazi twapatia wapi ela ya kujiunga na internet kila wakati. Na pia naona kavamia huku kwa mfano mim naingia asubuh hii, sa 4 utaniona tena. Lunch unikosi jioni saa 10 siachi usiku ndio usiseme. Na nikiingia sio juu ya dakika 20 nimetoka.
 
Ndio maana kuna majukwaa mengi sana humu JF.
Hata hayo ya kujadili maendeleo ya nchi yana mahali pake.

Kwa msisitizo . . . zingatia saana pale mtoa maada amewataka muelewe maana ya chitchat vizuri.

hapo kwenye bold asante kwa kumuelewesha.
 
Ohooo, sasa msiwakasirikie jamani. Wanakuwa hawaelewi kuwa nyie mmeshayaotea maisha. Yeye akiwaza bundle ya sh 500 daily wakati wewe unawaza beach plot wanauza millioni 200 hawataki kushusha walau millioni 150 wanakuwa hawaelewi. Tuchukuliane kwa upendo, mbona easy? Waambie tu wakikua wataelewa. Pole kaka.

asante mama. Wengine n'na wasiwasi ni wazee na midevu yao.
 
umeongea vema mkuu ivi kweli kumbuka kuna watu zaidi ya laki moja humu ndani na sio wakati wote watu wapo online. Alafu kwa watu wanaofanya kazi maofisini wengi wanatumia computer kuwakuta online haishangazi alafu mtu hajui tunaishije anakuja kutoa conclusion kwamba hatufanyi kazi hayo ni makosa. Kama hatufanyi kazi twapatia wapi ela ya kujiunga na internet kila wakati. Na pia naona kavamia huku kwa mfano mim naingia asubuh hii, sa 4 utaniona tena. Lunch unikosi jioni saa 10 siachi usiku ndio usiseme. Na nikiingia sio juu ya dakika 20 nimetoka.

Ni kweli stevoh km hapa niko bed najiandaa kuamka...so naperuz kidogo nikaoge then baadae chai time naperuz tena...then lunch time km kawa..then saa kumi tena baada ya hapo hadi Amyner arudi ndio naingia tena.
Watuache meeen!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli stevoh km hapa niko bed najiandaa kuamka...so naperuz kidogo nikaoge then baadae chai time naperuz tena...then lunch time km kawa..then saa kumi tena baada ya hapo hadi Amyner arudi ndio naingia tena.
Watuache meeen!

hapa mi bado sijang'ofoka kitandani ila nataka nitoke maana siku inakaribia kufikia kati.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom