Watoto wageni mnaoingia humu onyoo tambueni hili...

Watoto wageni mnaoingia humu onyoo tambueni hili...

na wewe pia. Mpaka tukutafute kwa darubini duuh!!
hahahahahah lol si hivyo bana . anyway kuna hizi new gadgets nimeona kwenye TV sasa wanaonyesha huko LA. Very interesting and complicated things .. Check it out if you have time.
 
Asprin hubby wangu baada ya vinyamkera kuvamia huku kwetu, naona unijengee nyumba ka ya bibi tarabushi nikae ghorofani niwe tu nachungulia chini maswahiba yanavyoendelea!
 
Last edited by a moderator:
Samahani stevoh lakini naomba kutafautiana nawe. Siyo swala la watoto au Utoto. Nathani nikosa kudai eti hili jukwa lina wenyewe. hapa ni mahala pa umaa,bora tuheshimiane jinsi tunavo jadili mada yeyote. Tukiwa vijana, maisha yetu kwa wingi yako kwa siku zijazo,tukipoteza muda kwa wakati huu basi nchi hii haiwezi endelea.Mutu akitoa ushauri kuendeleza hii nchi tusije tukawa na kumshambulia sana vile mumefanya leo. Sioni ujinga wowote hapo. Mimi nina huzuni kuona wazee ambawo hawataki kubadilika.Dunia inabadilika,tukitaka nchi isonge mbele lazima tuache zile tabia za uzembe na starehe. we have to work hard to build our country. Naomba Heshima na kuvumiliana katika mijadala hapa. Hamuna Mjinga wala mtoto humu. Wazee Dunia is not stagnant.

Bora umeliona hlo mkuu! Yani watu wanaona kama ndo wameshafika humu! Hii JF wanataka kuifanya ya watu fulani!
Haiko hvyo!
 
Asprin hubby wangu baada ya vinyamkera kuvamia huku kwetu, naona unijengee nyumba ka ya bibi tarabushi nikae ghorofani niwe tu nachungulia chini maswahiba yanavyoendelea!

Wewe ukajifiche? hehe
 
Last edited by a moderator:
Watuwacheee, hata kama nakaa masaa 24 haiwahusu jamani. Kwani wote tunaingiza pesa kwa kukaa ma ofisini na kutoonekana Jf? Wengine tunakaa tu mipesa ya kujikimu kimaisha ina ingia tu bira kwalo. Na sasa ivi nitaanza kukaa humu 24 times 7
somo mkuu
 
hahahahahah lol si hivyo bana . anyway kuna hizi new gadgets nimeona kwenye TV sasa wanaonyesha huko LA. Very interesting and complicated things .. Check it out if you have time.

nimebanwa si mchezo huku yenyewe tu kuingia mtiti.
 
Watuwacheee, hata kama nakaa masaa 24 haiwahusu jamani. Kwani wote tunaingiza pesa kwa kukaa ma ofisini na kutoonekana Jf? Wengine tunakaa tu mipesa ya kujikimu kimaisha ina ingia tu bira kwalo. Na sasa ivi nitaanza kukaa humu 24 times 7

hahahaha haya bhana.
 
stevoh umefanya vizuri kuwaambia, mwenzao manoah alipata jando na unyango sasa keshakuwa mtu mzima.

Salamu wakuu,
poleni kwa shughuli,
onyo kwa memba wapya wanaoingia humu ndani.
Mmekuta maisha yetu mazuri tuuuu hatuna stress wala mawaaa ila mmekuja mnatuchafulia hali ya hewa mimi kama mimi msije mkaomba lifti mkapewa mkataka na kupiga raundi.
Tumewapokea ila mnataka kutufundisha maisha ya kuishi humu ndani jipangeni tena. Mfate vigezo na masharti ya huku.
Soma mchezo angalia watu wanaishije ndio mjue wanawezaje kukaa huku. Hamjui kusoma hata picha hamuoni.
Jieshimuni. Kwanza jueni maana ya CHIT-CHAT halafu ndio mrudi huku.
Hakuna mtu kakulilia shida, hakuna aliyekuomba msosi ya nini kufatiliana??
Nawasilisha,
copy kwa Asprin, Erick52, mamndenyi, nitonye, Bishanga, c6, madame b, mr. Rocky, slave, etc
 
Last edited by a moderator:
asante. Mzima wewe?

mzima best,nenda basi kanisaidie basi kule kwenye mada ya Baba V yaan muandishi kaniingiza chaka nami nikaingia mzima mzima sasa balaa lake akitoka selo eti nisimkimbie naomba uwe wakili wangu au nitafutie kabda hajatoka munganda huyu jamaa.
 
Last edited by a moderator:
Asprin hubby wangu baada ya vinyamkera kuvamia huku kwetu, naona unijengee nyumba ka ya bibi tarabushi nikae ghorofani niwe tu nachungulia chini maswahiba yanavyoendelea!
Hofu ondoa wifey..... we sema tu kwenye kiwanja kipi? Cha Bunju, Mbweni, Kinyerezi, Kijichi, Boko au Mbezi Beach?
 
Hofu ondoa wifey..... we sema tu kwenye kiwanja kipi? Cha Bunju, Mbweni, Kinyerezi, Kijichi, Boko au Mbezi Beach?
nitoe nje ya nchi kabisaaaaa, cyprus patanifaa! huku tz naogopa wasije niambukiza virusi vya MASALIA! kwi kwi kwi kwi! MZITO KABWELLA NI NOUMER HUBBY!
 
nitoe nje ya nchi kabisaaaaa, cyprus patanifaa! huku tz naogopa wasije niambukiza virusi vya MASALIA! kwi kwi kwi kwi! MZITO KABWELLA NI NOUMER HUBBY!
Well ili usiende mbali nami ntakuwekea kitu hapo Nairobery, nikijisikia hamu nakodi helikopta ya Ndesamburo natia timu hapo kujilia vitu vyangu then najirudia zangu mwepesiiiii. Manake nawe kwa kunikamua huachagi hata nusu ya kijiko cha chai..Khaaa!!
 
Back
Top Bottom