Watoto waliolelewa na single ni wabishi na wanatudharau sisi baba zao wa kambo.

Watoto waliolelewa na single ni wabishi na wanatudharau sisi baba zao wa kambo.

Kabla ya kumuowa make sure umejipata, yaani Hakikisha unamtoa alipo na kumuweka kwako pia uwe na Uwezo WA kuwasaidia kizazi chake usiwe tegemezi.

Kumbuka kizazi hicho kimepitia mengi yaliyo athiri mfumo Yao ya kihisia, kwaivo Kuna gap kubwa la kihisia katika saikolojia yao
 
Hao watoto wa single maza wana akili sana, wanawadharau dume zima linaoa single maza.
Hasa wakiume wanawachukia sana mliooa hao single maza. Huwa hawaelewi wanawake wote mtaani unaangukia kwa mama yake?
ukweli mchungu huu, ni kweli kabisa watoto wa kiume huwachukia mnoo baba zao wa kambo sijui kwa nini
 
Watoto waliolelewa na single maz ni wabishi na wanatudharau sisi baba zao wa kambo.


Kijana usioe singo maza
Bado mtoto wewe, watoto kibao wengine familia zimejaa minoti na bado wabishi na watukutu hatar, acha kasumba na usioe wewe lakini wanaume wanaoa hawajali ni single mama au ni nini na mambo yanaenda Kaa utulie na wivu wako.
 
Tena sana , bwege kweli kweli. Usiku ukitaka kula mbususu halilali linakufukuza .... Toka kwetu toka kwetu!
Kuna watu maboya sana.
Watoto hawasemi uwongo nakwambia. Ukiona hadi mtoto anakataaa mwanaume ambaye sio baba yake kuwa na mama yake...basi already tells u that marrying a single mom is just a bad idea
 
Back
Top Bottom