Kosa letu nini? Sie tuna hudumia watoto wetu vizuri tuu na wananawiti na mke mpya nae anaenjoy tuuVita ya JF na single mamaz haitakuja kuisha
Single fathers hawanaga kosa?
Kosa letu nini? Sie tuna hudumia watoto wetu vizuri tuu na wananawiti na mke mpya nae anaenjoy tuuVita ya JF na single mamaz haitakuja kuisha
Single fathers hawanaga kosa?
Hao ni waropokaji kwani we huoni wanaolewa? Daima Kila kitu husemwa ila uhalisia unabaki kuwa uhalisia, SEMA wewe hawaolewi?Imeisha tangu lini Jaboja
Uzi unawahusu wao huu
Hao ni waropokaji kwani we huoni wanaolewa? Daima Kila kitu husemwa ila uhalisia unabaki kuwa uhalisia, SEMA wewe hawaolewi?
Oooh basi ndio maana lawama ni kwa wanawake tuKosa letu nini? Sie tuna hudumia watoto wetu vizuri tuu na wananawiti na mke mpya nae anaenjoy tuu
Waache kugawa utam utam kwa ma bby daddy....hapo tuu ndio wanapo bugiOooh basi ndio maana lawama ni kwa wanawake tu
ManyanyasooiInasikitisha sana! Poleni
Bora ugali dagaa kwenye amani kuliko wali nyama vitani
Me sipendi dharauu...
Sawa ngoja ligi iendeleeInasemekana wanaolewa lakini kwenye circle yangu sijaona single mama aliyeolewa na mwanaume mwingine ambaye sio baba mtoto wake
Ni either wameolewa na waliowazalisha ama ni single mamaz walioamua kurudi kuishi nyumbani kwa wazazi wao
Baba zao wapi? Madogo wenyewe wanamuona bwege tu, madogo wanajiuliza huyu akili amepeleka wapi hadi kaoa single mazaWaambieni nyie ndio baba zao
Social media zinasaidia sana vijana. Sasa wanajua kuwa single mother ni wa kula na kuacha muda wowote itakapobidi.Inasemekana wanaolewa lakini kwenye circle yangu sijaona single mama aliyeolewa na mwanaume mwingine ambaye sio baba mtoto wake
Ni either wameolewa na waliowazalisha ama ni single mamaz walioamua kurudi kuishi nyumbani kwa wazazi wao
Kuna ukweli hapa, hawataki ushindani kwenye upendo wa mama.
Na watoto waliolelewa single Baba pia wabaya zaidi na wake za Baba zao hawakai!! Tuwe tuna balance mambo!!! Tusiwe watu wa mfumo Dume!!Watoto waliolelewa na single maz ni wabishi na wanatudharau sisi baba zao wa kambo.
Kijana usioe singo maza