Watoto waliozaliwa tumbo moja kuwa na uadui


9. MIRATHI
 
Right
 
upo sahihi mkuu.naongezea ww mwenyewe humpendi dada yako na kaka zako kila cku unawasema vibaya halafu eti unategemea wtt wako wapendane
 
Nakubaliana na wewe,hilo nalo tatizo
mm nakataa hili wtt wanaiga tabia na kurithi tabia kutoka kwa wazazi na mzazi kumpenda mtt mmoja zaid ya wenzake ipo karibu familia zote hata mkuu kunammoja unampenda zaid ila ukitaka wenenu washikane anzeni nyinyi wazazi zaman mtu akileta posa ya bint yako unamwamwabia nenda kapeleke kwa kaka na atakachokiamua wala hawapingi jengine ukiingia tu kijijin ukionana na baba yako kwa kuchelewa swali la kwanza umeshaenda kumsalimia shangazi yako
 
Ila nadhan tunarithi tunachokiona kwa wazaz na ndugu zao, kuna rafiki yangu huwa anakaa na mdogo wake ambae wote wana family na wanakunywa bia huwa namshangaa, sisi labda kuwe na sherehe na hata maongezi ni vitu serious hatuna hata ule upendo wa kufanya jokes ila wanawake ndio kidogo huwa unaona effort zao kuweka pamoja brothers
 
Aisee mm nimeshuhudia jirani zangu kabisa wale watoto ni mama mmoja na baba mmoja lakini hawapendani hata kidogo mpaka huwa nauliza wanamatatizo gani? Maana ilifikia kipindi wanachomeana nguo wanashikiana visu sijajua tatizo huwa ni nini
Ninyi kwenu mnapendana lakini usiseme sio kweli, unazifahamu familia zote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…