Watoto wangu wote hufariki baada ya kuzaliwa au mimba kuharibika

maagano yanatatuliwa vp mkuu
 
Ngoja nikwambie ukweli, maana hata mimi nilishawahi kukumbana na kitu kinachofanana na chako. Shida ni wao kukosa uhakika wa kuolewa au kutunzwa na wewe. Mimi ilikuwa hivi

Wa kwanza: Ikiwa imefika miezi mitano, Alikuja kuniambia imeharibika , ila nikaja kigundua alitoa.

Wa pili na watatu: walishika ujauzito kwa pamoja na kwa mpigo, sikutaka wajuane, ila siku mmoja wao akapekua simu akamjua mwenzake, na huyu mwingine nae akapekua simu yamgu akamjua mwenzake, kila mmoja akakaairika wakaamua watoe, mmoja alifanikiwa kwa mateso makali sana, huyu mwingi ilikuwa kidogo afe ila haikutoka, ndio akazaliwa wa kwanza.

Nikaendelea naye huyo aliyezaa, akapata ujauzito tena ndani ya miezi minne tu toka ajifungue,, hakuaniambia, ila akatoa, nikaja kujua tu baadae. Tukaendela akashika ya tatu, akaniambia, akazaa wa pili.

Nikaendelea nae, akashika ya tatu, ilipofika miezi miwili akatoa bila kuniambia, miezi kuenda tumbo halionekani, nikambana ndio akasema ametoa, haya..

Nikaendelea nae, akashika ya nne.., ilipofika miezi 6 ikaharibika, aliumwa sana ila akapona...haya..

Tumeendelea....
 
mkuu nashukuru ila samahani sidhani kama utakua umenielewa vema..Mimi tatizo langu haswa sio wanawake wangu kutoa ujauzito,tatizo ni kua wanajifungua salama salmini lakini mwishowe watoto wanafariki bila wao kutarajia kasoro wale wawili wa mwanzo tu ila watoto wengine wote karibia 6 wamezaliwa salama kabisa ila hawapati kibali cha kuendelea kuishi hapa duniani kama baba yao..Tofauti na hao wa kwako wanaotoa mimba bila sababu za msingi ilihali watu tunahangaika usiku na mchana ili watoto wazaliwe salama.
 
@Mshana Jr unahitajika huku Mkuu
 
Alie kuharibia ni Yule dem wa KWANZA alietoa mimba YAKO!!mizimu yenu Huwa haitoi mimba KABISA umechukua Sana ndio maana imeamua kukunyima uzao!!!

Nenda KWA mtaalamu utapokea MAAGIZO mapya kuhusu hayo na utatuzi wake!!
[emoji3] kiimani zaidi au sio
 
Pole
 
maagano yanatatuliwa vp mkuu
suluhisho pekee la wewe kuwa salama na future yako ni kusitisha mahusiano na huyo mwanaume/mwanamke ambaye baada ya kuanzisha tu mahusiano na yeye mikosi na mabalaa yakaanza kupiga hodi kwenye maisha yako.

shida yenu wengi wenu mnasukumwa na tamaa za chini, mnang'ang'ana na watu kisa tu wamewadadisha kingono mpaka mnafikia stage ya kufunganao ndoa.
 
Yeah nimehisi hivyo kwa mwanaume au mwanamke pia akiwa nacho ni shida,kwetu wanaita likango.

Kuna rafiki kazika watoto wawili,alivyogundulika na hilo tatizo wakamkata,,,now yupo na watoto watatu[emoji1545]
 
Hii stori ya mtoa mada inafanana ya dogo mmoja Yuko kwenye early 30's Ni jirani yangu

[emoji117]Mwaka huu February kapoteza mtoto wa kiume masaa 6 tu baada ya kuzaliwa, tukazika fasta.

[emoji117]Mwaka Jana September alikua na binti alikua na mimba ya miez 6 ya mapacha (ultrasound ilionyesha)
Miez 8 kaumwa tumbo balaa, hospital wakasema watoto washafariki ikapid apigwe kisu kuwatoa kuokoa Maisha ya mama.

[emoji117]Mwaka juzi Kuna binti alikua hampendi, alikuja kumpa mimba bahat mbaya, kamwambia binti aitoe Hana mpango nae. vinginevyo akizaa wasijuane, binti akakataa kata kata.
Mimba imebebwa mpk miez 9, hospitali binti kafariki pamoja na mtoto wkt wa kujifungua.[emoji26]

[emoji117]Mwaka 2016 Nakumbuka alikuja kupata kesi ya kumpa mimba mwanafunzi,
kabla wazazi na serikali haijajua mchakato mzima ikabidi mzigo uflashiwe chap (nilishiriki kutoa safehouse ya binti kujificha mpk alipopona kabisa, binti wa watu nusu afe. Najuta na SITORUDIA ULE UPUMBAVU TENA[emoji26])

Ukiangalia hiyo Ni series ya watoto 4 dogo kawapoteza, huu msiba wa February ulimkumbusha mengi ya nyuma mpk anajuta kuitoa ile mimba ya kwanza ya yule mwanafunzi. Huenda Ndo alikua mwanae

Nafuatilia comments pia,
Naweza ambulia chochote Cha kumshaur.

Hii kitu iskie TU kwa mwenzako,
Dogo Sahv Kila mwanamke akikutana nae anamwagia ndani TU liwalo na liwe kujaribu bahati yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…