Watoto wangu wote hufariki baada ya kuzaliwa au mimba kuharibika

Asante sana mkuu kwa ushauri wako na kuliona hili kwa jicho la kipekee,Mwakani nitaleta mrejesho ikimpendeza Mungu[emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiogope,wenzio wanaenda kuoga makaburini usiku was manane kutafuta Tiba[emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1] matatizo duniani hapa ni mengi sana aisee unaweza sema una tatizo ila ukikutana na mwenye tatizo zaidi yako unakaa kimya tu
 
[emoji1][emoji1][emoji1] matatizo duniani hapa ni mengi sana aisee unaweza sema una tatizo ila ukikutana na mwenye tatizo zaidi yako unakaa kimya tu
Yaani acha kabisa,kuna mambo ukiadithiwa unaona ni adifhi tu yaani,,kumbe ni kweli.
 
[emoji478][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477]
 
Duuuh poleeeeh sanaaaa

Hili ni likango, inatakiwa uende kwa mtaalamu akakukate,
Kinakaa hapo ndani ya mlango wa haja kubwa, tafadhari sio bawaziri, ni kiuvimbe au kinundu ambacho unazaliwa nacho, hakiumi, wala huwezi kujua km kipo.

Fanya hima uwahi ukapate tiba kikikomaa hakitibiki, kuna lecturer yuko UDOM kapoteza watoto na wake zake wawili, kabaki na mtoto m1 tyuuh mkubwa sahivi, yeye naye halitibiki ko akioa au kutaka kuzaa watoto na mama wanakufa

Tafadhari sana fanya hima, vinginevyo utaishia kuona wenzio wakiitwa baba wee kwako n hollah, wahi kapate matibabu.
Nenda kwa wataalamu wa asili, duuuh poleeeh sanaaa.
 
Naunga mkono hoja
 
sasa nitasitisha na wangapi mkuu
kwani wote unao date nao wanakusababishia mikosi?.

huna hata mmoja ambaye unahisi anaendana na wewe kimaagano/kiroho.

kama ni hivyo basi huna haja ya kujihususha na mahusiano. baki single mpaka kufa kwako.
 
Asante sana mkuu cocastic nimeanza kulifanyia kazi hata wife naye ana kinyama ila yeye hua kinauma anapoenda haja kubwa na tulishapoteza mtoto pamoja ila kwa sasa amepatiwa matibabu ya kiasili kwa maelezo yake kile kinyama kimeondoka baada ya kufanyiwa tiba na mtaalamu sasa imebaki mimi kwenda kuwekwa sawa ili mwakani tuje tutoe ushuhuda humu.[emoji1]

Japo mm kuna mzee mmoja mtaalamu aliwahi niangalia akasema kile kinyama ni kwaajili ya kulea lakini kuna kingine hua kwaajili ya kumaliza watoto sa sijui alinipa moyo tu.All in all nashukuru sana kwa ushauri wako hii ndio faida ya j.f [emoji120]
 
kwani wote unao date nao wanakusababishia mikosi?.

huna hata mmoja ambaye unahisi anaendana na wewe kimaagano/kiroho.

kama ni hivyo basi huna haja ya kujihususha na mahusiano. baki single mpaka kufa kwako.
[emoji1][emoji1] sasa mkuu si nitakua mwanachama wa CHAPUTA milele.
 
Kacheck Rhesus factor, inachangia sana hali hiyo...
 
Labda SICKLE CELL wewe au kwenye ukoo wako.
 
Anaogopa kukatwa[emoji23]
 
Sasa si u-oe we unawapa Mimba mademu bila kuwa-oq? Niushamba wanabidi wafe na wewe ufe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…