Watoto wazuri mtaishia kutumika ndoa labda mkaolewe na shetani kama hamtobadilika, uzuri wako utakupeleka kwenye ndoa ila tabia yako ndo itaamua

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Habari za wakati huu popote pale ulipo... Mungu yu nasi.

Wanawake warembo ,wenye mwonekano, pisi kali na n.k majina mengine mnayo mbona kuolewa ni kipengere na wakiolewa hawa dumu kwa NDOA?

Badilika we binti unatumika mwisho unaelekea kuzeeka mnaanza kuongopa umri ili ukaolewa na kijana.. sisi hatuoi wazee maana hata fikra tiyari ziko za uzee jitafakar afu mtatupa jibu.

Nature ya mwanaume hata awe malaya vipi hatokubali kuoa mwanamke malaya so kama unategemea we dada kupata mwanaume malaya kama wewe never jitambue.

Umedanga miaka kadha ila bado unachokitafuta ujakipata shika kichwa halafu mnazeeka vibaya .
 
katika maisha ya utafutaji wa mwenza ME na KE wapo sawa, changamoto maamuzi ya mwisho anayo ME mara nyingi. Ila nijuavyo maisha yana umri wa kujimwambafai na hupita kwa kasi sana kwa KE kuliko ME.
Kila mtu na hulka/tabia yake ... ka waona hamwendani/hamtoendana bora kuachana mapema kuliko kupotezeana muda
 
Aisee kuna timu kataa ndoa, hata ujifanye unatabia nzuri, hakuna ndoa
 
Habari za wakati huu popote pale ulipo... Mungu yu nasi.
....
Wanawake warembo ,wenye mwonekano, pisi kali na n.k majina mengine mnayo mbona kuolewa ni kipengere na wakiolewa hawa dumu kwa NDOA?

Badilika we binti unatumika mwisho unaelekea kuzeeka mnaanza kuongopa umri ili ukaolewa na kijana.. sisi hatuoi wazee maana hata fikra tiyari ziko za uzee jitafakar afu mtatupa jibu.

nuture ya mwanaume hata awe malaya vipi hatokubali kuoa mwanamke malaya so kama unategemea we dada kupata mwanaume malaya kama wewe never.... jitambue....

umedanga miaka kadha ila bado unachokitafuta ujakipata shika kichwa...afu mnazeeka vibaya .
Mkuu tafuta pesa huo ndo uchawi unaoweza mtoto mzuri hata akikufumania atakuomba wewe msamaha kwa kukufumania
 
Unaweza kuwa mzee lakini pisi Kali, mcheki zari, wema sepenga, mpaka kamnyanganya whozu mtoto mkali kitu white tunda.
 
Habari za wakati huu popote pale ulipo... Mungu yu nasi.
....
Wanawake warembo ,wenye mwonekano, pisi kali na n.k majina mengine mnayo mbona kuolewa ni kipengere na wakiolewa hawa dumu kwa NDOA?

Badilika we binti unatumika mwisho unaelekea kuzeeka mnaanza kuongopa umri ili ukaolewa na kijana.. sisi hatuoi wazee maana hata fikra tiyari ziko za uzee jitafakar afu mtatupa jibu.

nuture ya mwanaume hata awe malaya vipi hatokubali kuoa mwanamke malaya so kama unategemea we dada kupata mwanaume malaya kama wewe never.... jitambue....

umedanga miaka kadha ila bado unachokitafuta ujakipata shika kichwa...afu mnazeeka vibaya .
Tayari ushapigwa na kitu nzito, au?!
 
Back
Top Bottom