yeah kuna nyimbo nikisikilizaga huwa nakumbuka maisha ya zamani
Killing Me Softly With His Song by fugees hii nyimbo unikunbusha mdada fulani marehemu hivi sasa 1997 yupo makongo form 4
alikuwa kwenye COUNTERBOOK yake kaiandika yote mpk mwisho na anaaiimba yote mpk mwisho ikipigwa radion anaifatilia
hiyo nyimbo ataniisikie usiku wa manane nimelala basi unirudisha miaka 30 nyuma na kumkumbuka huyu dada ambaye tulikuw tunaishi mtaa mmoja kinondoni miaka 90s
zipo nyingi sana lkn hii ni moja wapo
alikuwa na nyimbo nyingi sana hila hii ilikuwa ndio nyimbo anaipenda sana
Tumsapoti kijana bwashee, leo kakaza sio kitoto.Hizo kumbukumbuku zinakusaidia nini ikiwa haujitambui na akili yako inawaza ngono tu .?
Mimi navyojua Mara ya kwanza kuona na kusikia habari za kishoga ni siku nimeenda kijijini .Tumsapoti kijana bwashee, leo kakaza sio kitoto.
Nyakati zinabadilika lazima ukubali. Kila kizazi na wakati wakeKwa tuliobahatika huwa kuna muda unakaa, unakumbuka nyumba yenu/ kijiji chenu utotoni wakati unakua, watoto wenzio uliokua ukicheza nao na maisha ya ujumla ya utotoni.
Kwa bahati mbaya kwa sasa watoto wengi wanalelewa kwenye nyumba lakini hawana nyumbani. Wazazi wanahama nyumba za kupanga mara kwa mara, shule na hata mikoa kabisa.
Hadi mtoto anamiza la saba, wameshahama nyumba za kupanga mara kadhaa, hata kua na marafiki wa utotoni inakua ngumu, memory yenyewe inavurugika.
Kingine ni utandawazi, watoto hawana michezo ya nyumbani, wanaangalia michezo ya kwenye simu au tv ambayo ni ngumu kuikumbuka hata.
Hasara nyingine ni sanaa zisizodumu, wale wenye umri mkubwa kidogo au zaidi, kuna nyimbo ukizisikia, unakumbuka mbali sana, zinaguza ile inner retrieval que, lakini sasa hata sanaa has nyimbo hazidumu, week moja kisha imepotea
I feel sorry for them. Kids now do not understand that the full moon in village was a special time for night play.
Mabadiliko hayazuiliki ila yanaondoka na vingi
View attachment 3407476
Maybe you are right based on your own perspectivethings will never be the same. Kilicho kupa maana na ukakiona cha thamani jana, leo kitakua cha kawaida. Pia tambua kilikua na thamani kwako wewe, sio kwangu, sio kwetu na wala sio kwao, ilikua ni kwako.
unaweza ukakuta wewe ndo unatakiwa kuonewa huruma, maana kipindi unavokua ulikua unacheza kwenye mavumbi chini ya mwanga wajua, sahizi watoto wa mjini wanajifunza mambo ya kiteknolojia..
Mtu mmoja mwenye busara alisema "Pamenifaa Pasikutambize Maprodian".
.illumination
rip kwa dadayeah kuna nyimbo nikisikilizaga huwa nakumbuka maisha ya zamani
Killing Me Softly With His Song by fugees hii nyimbo unikunbusha mdada fulani marehemu hivi sasa 1997 yupo makongo form 4
alikuwa kwenye COUNTERBOOK yake kaiandika yote mpk mwisho na anaaiimba yote mpk mwisho ikipigwa radion anaifatilia
hiyo nyimbo ataniisikie usiku wa manane nimelala basi unirudisha miaka 30 nyuma na kumkumbuka huyu dada ambaye tulikuw tunaishi mtaa mmoja kinondoni miaka 90s
zipo nyingi sana lkn hii ni moja wapo
alikuwa na nyimbo nyingi sana hila hii ilikuwa ndio nyimbo anaipenda sana
Mambo ya kishoga nimeyasikia mjini hasa nilivyo fika Arusha na dasalama,,Mimi navyojua Mara ya kwanza kuona na kusikia habari za kishoga ni siku nimeenda kijijini .
Watu wengi ambao wamepinda background zao ni uswahilini na kijijini Changanyikeni na vijijini hayo maeneo usithubutu kulelea mtoto huko utajuta Sana .
huyu dada walikuwa ni wale watu wa mwanzo kabisa kusoma zile kozi za hotel management miaka ile 90 mwishoni alupomaliza tu form 4 akaenda kusomea hizoDuh Nini chanzo Cha kifo chake?