Watu 10 maarufu zaidi kuwahi kutokea duniani

Ni kweli mkuu. Ndio maana katika introduction nikatoa mwanya wa orodha kupingwa. Bahati mbaya wabongo wanakua provoked kirahisi sana. Unaampa mtu mwanya wa kufanya marekebisho lakini bado anakuja kukushambulia mjinga, huna akili n.k
 
Ni kweli mkuu. Ndio maana katika introduction nikatoa mwanya wa orodha kupingwa. Bahati mbaya wabongo wakua provoked kirahisi sana. Unaampa mtu mwanya wa kufanya marekebisho lakini bado anakuja kukushambulia mjinga, huna akili n.k
Hapo sawa
 
Huyu dogo atakuwa Gen Z hafikiri sawa sawa. Baba wa babu yangu aliyefariki 1986 anamjua Ronaldo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…