Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Pole kwa Watanzania, Wakenya, Brazil na India kwa kupoteza ndugu zenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona kenge hii...☹️Kafara timu isishuke daraja
Watanzania hawana ajira, huko mtibwa Kuna raia wa Brazil, Kenya na India wameajiriwa.Kuna taarifa nimezipata kutoka kwa mtu wangu wa karibu anadai Watu 11 wamefariki Dunia ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar kilichopo Morogoro kutokana na hitilafu za kiufundi.
Wenye taarifa kamili tujuzeni
==== ===
Watu 11 wakiwemo raia watatu wa kigeni wamefariki dunia na wawili wamejeruhiwa kwa ajali iliyotokea katika kiwanda cha uzalishaji wa sukari cha Mtibwa baada ya kutokea kwa hitilafu ya mtambo wa mvuke wa kuzalisha umeme.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama amesema tukio hilo limetokea majira ya saa saba na nusu usiku wa kuamkia leo Mei 23,2024.
Kamanda Mkama amesema raia wa kigeni waliofariki ni kutoka nchini Kenya, India na Brazili
Miili ya marehemu hao imehifadhiwa katika Hospitali ya Mtibwa Sugar na majeruhi wanapatiwa matibabu katika Hospitali ya Misheni ya Bwagala.
Waliokufa ni wataalamu wa umeme na mitambo ambao walikuwa kwenye chumba cha kudhibiti mitambo hiyo.
Chanzo: AZAM TV
Yale yale ya NHIFsio kuwasumbua.....utashangaa wanaomba barua zao za ajira na kuthibitishwa kazin...utadhani walikua hawapokei michango
Kenge inawaza ulozi tu😂Ona kenge hii...☹️
R.i.P Classmates....😥
Fine apigwe na nani?Poleni kwa waifwa wote Hiyo fine mtibwa atakayopigwa anaweza akafilisika kabisaa yaani hela atatoa nyingi saana
KabisaHmm.. huyo mtoa taarifa akujuze zaidi
OSHA ni Kenge kama Kenge wengine tu , hali za safety , environment and health kwenye viwanda vya Bongo ni ya ovyo ovyoOSHA walipita karibuni kukagua mazingira ya kazi? Hizi ajali huenda zikaleta majibu ambayo wengi hatukuraji
Tanzania tuna shida jmn kila kitu mzahaKafara timu isishuke daraja
Aagh wapi ?Poleni kwa waifwa wote Hiyo fine mtibwa atakayopigwa anaweza akafilisika kabisaa yaani hela atatoa nyingi saana