Point yako ni nini? Unataka uone ICU ya MNH, au unataka umuone mgonjwa akiwa mahututi akiteseka au ni nini haswa kinakuwasha utamani kuona?Aisee hivi connection ilishindikana kabisa!??
Nifanyieni wepesi PM wakuu.
Tulia ww..Point yako ni nini? Unataka uone ICU ya MNH, au unataka umuone mgonjwa akiwa mahututi akiteseka au ni nini haswa kinakuwasha utamani kuona?
Kama shida yako ni wagonjwa nenda hospital huko wamejaa kawasalimie uwape na matunda
Wapuuzi kama Wewe hata ndugu yako akilazwa huendi kumsalimia lakini hapa unaomba video za mgonjwa
Na watasaidia kweli kweliunarekodi ,unaposti ,unajion bonge l mjanja kisha unaingia selo kuisaidia polisi..
Kashasema hata wauliwe hawasemi video wamepataje nayeye kakunja nne US.Anatakiwa awatafutie wakili na huduma muhimu kwa familia zao na pia asiwaache hata kidogo
Ajira ya uhalifu?Aisee kumbe ametoa ajira kwa watu 14? Big-up for that..
Senge kweli we kenge tuTulia ww..
Weengee
Sasa ulitaka aguswe nini na wapumbavu kama hawa?Tatizo akili zake haziko sawa...si uliona ule waraka wake?yaani hata tone la kuonyesha ameguswa na kilichotokea .nilichoka kabisa
Sidhani kama Mange ana maadui, ila yeye ndio adui wa watu.Yani unamfanyia kazi mange ukiwa Tanzania. Hilo Ni kosa kubwa maana ana maadui wengi ikiwemo serikali.
Daaah hili nalo neno!yaani unajua kabisa boss wako Ni mfano was Osama bin laden na wewe uko busy kufanya nae kaziSasa ulitaka aguswe nini na wapumbavu kama hawa?
Hivi hata kama ajira hakuna ndio ujipeleke kuajiliwa na Mange kila siku kazi yenu ni kushambulia utu wa watu?
Binafsi nimefarijika sana kwa Mane kuwapotezea hawa mazezeta iwe fundisho kwa vijana wengine.
Kama ajira ngumu kuna ajira mpya ya bodaboda bora hata uwe bodaboda utapata clean money kuliko kulipwa mshahara kwa kazi ya kuharibu utu wa watu.
Cha ajabu amezalishwa.Sidhani kama Mange ana maadui, ila yeye ndio adui wa watu.
Ana damu ya kijini, siamini kama kuna binadamu mwenye roho mbaya kama huyu mwanamke.
Starehe yake ni kuona wengine wakisononeka mioyoni mwao.
Pesa mwana haramu.Daaah hili nalo neno!yaani unajua kabisa boss wako Ni mfano was Osama bin laden na wewe uko busy kufanya nae kazi
Watu wengine hawana ubinadamu hata kidogo. Ujasiri wa kuchukua video mwenzako akiwa mahututi unautoa wapi?