Watu 14 washikiliwa kwa tuhuma za kurekodi video mgonjwa akiwa ICU Muhimbili

Aisee hivi connection ilishindikana kabisa!??

Nifanyieni wepesi PM wakuu.
Point yako ni nini? Unataka uone ICU ya MNH, au unataka umuone mgonjwa akiwa mahututi akiteseka au ni nini haswa kinakuwasha utamani kuona?

Kama shida yako ni wagonjwa nenda hospital huko wamejaa kawasalimie uwape na matunda

Wapuuzi kama Wewe hata ndugu yako akilazwa huendi kumsalimia lakini hapa unaomba video za mgonjwa
 
Tulia ww..
Weengee
 
Anatakiwa awatafutie wakili na huduma muhimu kwa familia zao na pia asiwaache hata kidogo
Kashasema hata wauliwe hawasemi video wamepataje nayeye kakunja nne US.
Shetani la mguu mmoja limekunja nne
Baada ya kuwsunguza wenzie👍
 
Yani unamfanyia kazi mange ukiwa Tanzania. Hilo Ni kosa kubwa maana ana maadui wengi ikiwemo serikali.
 
Tatizo akili zake haziko sawa...si uliona ule waraka wake?yaani hata tone la kuonyesha ameguswa na kilichotokea .nilichoka kabisa
Sasa ulitaka aguswe nini na wapumbavu kama hawa?

Hivi hata kama ajira hakuna ndio ujipeleke kuajiliwa na Mange kila siku kazi yenu ni kushambulia utu wa watu?

Binafsi nimefarijika sana kwa Mane kuwapotezea hawa mazezeta iwe fundisho kwa vijana wengine.

Kama ajira ngumu kuna ajira mpya ya bodaboda bora hata uwe bodaboda utapata clean money kuliko kulipwa mshahara kwa kazi ya kuharibu utu wa watu.
 
Yani unamfanyia kazi mange ukiwa Tanzania. Hilo Ni kosa kubwa maana ana maadui wengi ikiwemo serikali.
Sidhani kama Mange ana maadui, ila yeye ndio adui wa watu.

Ana damu ya kijini, siamini kama kuna binadamu mwenye roho mbaya kama huyu mwanamke.

Starehe yake ni kuona wengine wakisononeka mioyoni mwao.
 
Sasa ulitaka aguswe nini na wapumbavu kama hawa?

Hivi hata kama ajira hakuna ndio ujipeleke kuajiliwa na Mange kila siku kazi yenu ni kushambulia utu wa watu?

Binafsi nimefarijika sana kwa Mane kuwapotezea hawa mazezeta iwe fundisho kwa vijana wengine.

Kama ajira ngumu kuna ajira mpya ya bodaboda bora hata uwe bodaboda utapata clean money kuliko kulipwa mshahara kwa kazi ya kuharibu utu wa watu.
Daaah hili nalo neno!yaani unajua kabisa boss wako Ni mfano was Osama bin laden na wewe uko busy kufanya nae kazi
 
Sidhani kama Mange ana maadui, ila yeye ndio adui wa watu.

Ana damu ya kijini, siamini kama kuna binadamu mwenye roho mbaya kama huyu mwanamke.

Starehe yake ni kuona wengine wakisononeka mioyoni mwao.
Cha ajabu amezalishwa.
Dada simpendi kwa roho yangu yote.
 
Daaah hili nalo neno!yaani unajua kabisa boss wako Ni mfano was Osama bin laden na wewe uko busy kufanya nae kazi
Pesa mwana haramu.
Watu wanaishi kwa kuharibu imeji za watu katika jamii.
 
Hawa watakuwa uwa wanatumia spy cameras ili kupata matukio ndio maana hvyo vtu vyao km kofia,pen zinachunguzwa pia.
But ni bora wamekamatwa coz haikua sawa.
 
Kiumbe katili kuliko wote Duniani ni Binadamu na kiumbe mwenye huruma kuliko Wote Duniani ni binadamu

Mtu anaeweza kuchinja Mtoto au Mkewe au kumtilia sumu Mumewe atashindwa kurekodi tu tukio la Mtu maarufu tu asiemhusu?
Watu wengine hawana ubinadamu hata kidogo. Ujasiri wa kuchukua video mwenzako akiwa mahututi unautoa wapi?
 
Back
Top Bottom