Watu 14 washikiliwa kwa tuhuma za kurekodi video mgonjwa akiwa ICU Muhimbili

Huyu Mange watanzania tunamchukia sana kwa sababu alimdhihaki Dkt Magufuli, yaani asije kurudi Tanzania.
 
Tofauti na app ya mange hio video ya prof Jay inapatikana kupitia platform ipi?
 
We knew b4.. kwa jinsi huduma ya hko alichoanzisha isingefika kokote.. hii ni africa sio ulaya wala marekan... Huwez ongea ongea tu watu wakuache
 
Serikali iwachukulie hatua, wafungwe kabisa hao kunguni
 
We huwajui polisi wewe. Kawaulize Makomandoo ilikuwaje wakasign document bila kuisoma. Sasa hao wala Chipsi wala haihitaji nguvu kubwa kama makomandoo. Ni vijana wa depo tu wanapewa kazi baada ya dakika tano wanasema mpaka walivyotungishwa mimba.
Hawa vijana itakuwa video wametumiwa na mange sasa mange ndio kasema hasemi alipoitoa
 
Huyu Mange watanzania tunamchukia sana kwa sababu alimdhihaki Dkt Magufuli, yaani asije kurudi Tanzania.
Alisema hata maiti yake isirudi tz kwahiyo hana mpango wa kurudi tz. Inabidi akatekwe kulekule usa
 
polisi wako makini sana.. wamesema funguo, kalamu, miwani hadi saa navyo vinachunguzwa..
pigeni kazi polisi,
wale wanaosema polisi hawajui kufanya investigation wanaduwaa sasa
Ila kalamu nyingine huwa na camera mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…