OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Mfungulieni Baraba ..Lakini tumuondoshe Mange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watatajana tu.Hili Jambo Kwahiyo Haliwahusu Watumishi Wa Hospital
Wameponzwa na njaa zao za kupenda kusambaza mambo ya udakuDuhh! Je ni kweli watakuwa wameponzwa na Mange?
Hawana tofauti na wanaowaibia marehemu waliofariki kwa ajali😡😡Watu wengine hawana ubinadamu hata kidogo. Ujasiri wa kuchukua video mwenzako akiwa mahututi unautoa wapi?
Tofauti na app ya mange hio video ya prof Jay inapatikana kupitia platform ipi?Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) linamshikilia ALLEN SAMWEL MHINA, Miaka 31, Mbondei, Mkurugenzi wa Mtandao wa kijamii wa U-turn Collection mkazi wa Temeke Mwembeyanga na wenzake 13 kwa tuhuma za kusambaza video katika mitandao ya kijamii kinyume na sheria.
Katika video hiyo imemuonyesha mmoja wa wagonjwa aliyekuwa amelazwa wodi ya ICU Hospitali ya Taifa ya Muhimbili suala lililoleta taharuki kwa Hospitali hiyo na wafanyakazi wake.
Watuhumiwa hao walikutwa na vifaa mbalimbali vya kieletroniki vya kiuchunguzi ambavyo ni Kamera, Kalamu, Saa Funguo, Miwani, Kofia, Laptop, Memory Card ambavyo vyote vinachunguzwa.
Kitendo kinachotuhumiwa kufanywa na watuhumiwa hao kililenga kudhalilisha, kutia hofu au kuleta taharuki suala ambalo linalazimisha mamkala hizi mbili za kisheria kuchunguza kwa kina suala hilo. Uchunguzi ukikamilika watafikishwa kwenye vyombo vingine vya kisheria.
Imetolewa na
MULIRO J MULIRO– ACP
KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUM
DAR ES SALAM.
======
Hivi karibuni kuliibuka skendo ya msanii na mwanasiasa Profesa Jay kupigwa picha akiwa chumba cha ICU, Muhimbili, tukio ambalo lilizua taharuki na kusababisha kutolewa kwa matamko kadhaa, ikiwemo kufanyika kwa uchunguzi kuhusu tukio hilo.
Pia soma;
1). Hospitali ya Taifa Muhimbili yafafanua kuhusu video ya Joseph Haule (Profesa J) iliyosambazwa mitandaoni
2). Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa
We knew b4.. kwa jinsi huduma ya hko alichoanzisha isingefika kokote.. hii ni africa sio ulaya wala marekan... Huwez ongea ongea tu watu wakuacheJeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) linamshikilia ALLEN SAMWEL MHINA, Miaka 31, Mbondei, Mkurugenzi wa Mtandao wa kijamii wa U-turn Collection mkazi wa Temeke Mwembeyanga na wenzake 13 kwa tuhuma za kusambaza video katika mitandao ya kijamii kinyume na sheria.
Katika video hiyo imemuonyesha mmoja wa wagonjwa aliyekuwa amelazwa wodi ya ICU Hospitali ya Taifa ya Muhimbili suala lililoleta taharuki kwa Hospitali hiyo na wafanyakazi wake.
Watuhumiwa hao walikutwa na vifaa mbalimbali vya kieletroniki vya kiuchunguzi ambavyo ni Kamera, Kalamu, Saa Funguo, Miwani, Kofia, Laptop, Memory Card ambavyo vyote vinachunguzwa.
Kitendo kinachotuhumiwa kufanywa na watuhumiwa hao kililenga kudhalilisha, kutia hofu au kuleta taharuki suala ambalo linalazimisha mamkala hizi mbili za kisheria kuchunguza kwa kina suala hilo. Uchunguzi ukikamilika watafikishwa kwenye vyombo vingine vya kisheria.
Imetolewa na
MULIRO J MULIRO– ACP
KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUM
DAR ES SALAM.
======
Hivi karibuni kuliibuka skendo ya msanii na mwanasiasa Profesa Jay kupigwa picha akiwa chumba cha ICU, Muhimbili, tukio ambalo lilizua taharuki na kusababisha kutolewa kwa matamko kadhaa, ikiwemo kufanyika kwa uchunguzi kuhusu tukio hilo.
Pia soma;
1). Hospitali ya Taifa Muhimbili yafafanua kuhusu video ya Joseph Haule (Profesa J) iliyosambazwa mitandaoni
2). Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa
Nenda Police central, watakuonyesha kupitia platform yaoTofauti na app ya mange hio video ya prof Jay inapatikana kupitia platform ipi?
Kwa Polisi lazima Utasema tu..Kashasema hata wauliwe hawasemi video wamepataje nayeye kakunja nne US.
Shetani la mguu mmoja limekunja nne
Baada ya kuwsunguza wenzie👍
Haya ndio mambo na sisi tunataka kuyasikia…Makongoro alipata usingizi kwa mama Mange
Mpka wamesema ni huyo aliyewatuma washasema,ngedere kakaa tu mguu nje km mwanga anabisha.Kwa Polisi lazima Utasema tu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeona mpaka kofia imeorodheshwa Kama ni kifaa cha uchunguzi cha kielectronic!
Big up kwa ajira za udhalilisha watu? Au hilo halijalishi as long ametoa ajira?Aisee kumbe ametoa ajira kwa watu 14? Big-up for that..
Hawa vijana itakuwa video wametumiwa na mange sasa mange ndio kasema hasemi alipoitoaWe huwajui polisi wewe. Kawaulize Makomandoo ilikuwaje wakasign document bila kuisoma. Sasa hao wala Chipsi wala haihitaji nguvu kubwa kama makomandoo. Ni vijana wa depo tu wanapewa kazi baada ya dakika tano wanasema mpaka walivyotungishwa mimba.
Alisema hata maiti yake isirudi tz kwahiyo hana mpango wa kurudi tz. Inabidi akatekwe kulekule usaHuyu Mange watanzania tunamchukia sana kwa sababu alimdhihaki Dkt Magufuli, yaani asije kurudi Tanzania.
Ila kalamu nyingine huwa na camera mkuupolisi wako makini sana.. wamesema funguo, kalamu, miwani hadi saa navyo vinachunguzwa..
pigeni kazi polisi,
wale wanaosema polisi hawajui kufanya investigation wanaduwaa sasa