Oroka msoro
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 569
- 435
Watu unajadili maafa unaleta siasa mfu zakoChadema walitangaza mvua hazitanyesha kwa sababu Magufuli amekata miti millioni 3
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu unajadili maafa unaleta siasa mfu zakoChadema walitangaza mvua hazitanyesha kwa sababu Magufuli amekata miti millioni 3
Huyu Jamaa ana Gundu sana ,Matukio mengi yametokea kipindi chake.Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando
Mgao upo pale pale [emoji16].Mgao wa umeme bye bye hayo maji yaende kwenye mabwawa ya umeme popote yalipo
Makofi na masimango yanakuhusu kama mama amunike unae nyumbani.Niko neema lodge hapa nyuma ya Msamvu na mtoto mzuri ndani kiukweli nimeshindwa kurudi kwangu Mafiga kutokana na hii mvua