Watu 48 waokolewa mafuriko Morogoro

Watu 48 waokolewa mafuriko Morogoro

Kipara mbabe anamaind mtela inajaa ataambia nini wauza majenereta
 
13 January 2023

Mafuriko ya maji ya mvua Morogoro

Kihonda Veta Morogoro, Tanzania

 
30 Julai 2021
Muonekano Stesheni ya Kihonda Morogoro SGR Reli Mpya, mradi watembelewa na wajumbe wa NEC CCM Mkoa wa Morogoro

1673612898494.png

30 Julai 2021 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro Dorothy Mwamsiku na wajumbe wa halmashauri kuu wa mkoa wa Morogoro ilitembelea stesheni ya reli ya SGR iliyopo Kihonda na maeneo mengine ambayo ujenzi unaendealea.

Wajumbe wa Halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi (CCM)Mkoa wa Morogoro imetembelea mradi wa kimkakati wa reli ya kisasa(SGR) kutoka Kihonda Manispaa ya Morogoro hadi Kilosa ambapo imeonyesha kulidhishwa na kazi iliyofanywa na mkandarasi chini ya shirika la reli nchini TRC.
1673613255165.png

Akizungumza mara baada ya kujionea maendeleo ya mradi huo wa reli ya SGR Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM Mkoa wa Morogoro Dorothy Mwamsiku alisema chama kimefanya kazi kubwa katika kusimamia miradi ya kimkakati ambayo inatekelezwa kupitia ilani ya CCM.
 
hii ni habari mbaya kwa wale jamaa zangu wa ile kanda waliokuwa wanashinda mitandaoni kusema SSH ameshindwa kazi kwakuwa kuna mgao na blabla kibao
haya sasa mabwawa na mito inajaa
 
Kaimu kamanda Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Morogoro, Emmanuel Ochieng amesema mpka sasa wameokoa watu 48 waliokuwa wamezingirwa na maji katika maeneo ya kata ya Kihonda kufuatia mvua zilizonyesha usiku wa kuamkia leo Ijumaa Januari 13, 2023.

Ochieng Amesema watu hao kwa Sasa wamehifadhiwa ofisi ya kata ya Kwa ajili ya kupatiwa msaada wa chakula,malazi na mahitaji mengine.

Aidha amesema wananchi wakatakiwa kuchukua tahadhali kutokana na mvua hizo huku akiwataka wale waliochimba mashimo ya choo, takataka kuhakikisha wanayafukia ili yasiweze kuleta athari zaidi.
 
Crocodiletooth alitoa taarifa mapema kuhusu hii mvua hapa jf japo mamlaka pia zilitangaza.

Nchi kama nchi sera zetu za maafa zilishaenda na maafa😅😅

speaking from DRC hapa Juba South Korea😬😬
 
Back
Top Bottom