Oroka msoro JF-Expert Member Joined Dec 24, 2022 Posts 569 Reaction score 435 Jan 14, 2023 #221 Etwege said: Chadema walitangaza mvua hazitanyesha kwa sababu Magufuli amekata miti millioni 3 Click to expand... Watu unajadili maafa unaleta siasa mfu zako Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Etwege said: Chadema walitangaza mvua hazitanyesha kwa sababu Magufuli amekata miti millioni 3 Click to expand... Watu unajadili maafa unaleta siasa mfu zako Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jan 14, 2023 #222 RoadLofa said: Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando Click to expand... Huyu Jamaa ana Gundu sana ,Matukio mengi yametokea kipindi chake.
RoadLofa said: Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando Click to expand... Huyu Jamaa ana Gundu sana ,Matukio mengi yametokea kipindi chake.
MLEVi Mmoja JF-Expert Member Joined Jun 29, 2019 Posts 8,514 Reaction score 15,050 Jan 14, 2023 #223 Numbisa said: Mgao wa umeme bye bye hayo maji yaende kwenye mabwawa ya umeme popote yalipo Click to expand... Mgao upo pale pale [emoji16]. Tunataka tuuze umeme nje kwa kiasi kikubwa
Numbisa said: Mgao wa umeme bye bye hayo maji yaende kwenye mabwawa ya umeme popote yalipo Click to expand... Mgao upo pale pale [emoji16]. Tunataka tuuze umeme nje kwa kiasi kikubwa
MLEVi Mmoja JF-Expert Member Joined Jun 29, 2019 Posts 8,514 Reaction score 15,050 Jan 14, 2023 #224 Niko neema lodge hapa nyuma ya Msamvu na mtoto mzuri ndani kiukweli nimeshindwa kurudi kwangu Mafiga kutokana na hii mvua
Niko neema lodge hapa nyuma ya Msamvu na mtoto mzuri ndani kiukweli nimeshindwa kurudi kwangu Mafiga kutokana na hii mvua
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Jan 15, 2023 #225 Asili ikiamuaga haijui hili bonde huu mwamba, wa juu wa chini wa chini wa juu.
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Jan 15, 2023 #226 MLEVi Mmoja said: Niko neema lodge hapa nyuma ya Msamvu na mtoto mzuri ndani kiukweli nimeshindwa kurudi kwangu Mafiga kutokana na hii mvua Click to expand... Makofi na masimango yanakuhusu kama mama amunike unae nyumbani.
MLEVi Mmoja said: Niko neema lodge hapa nyuma ya Msamvu na mtoto mzuri ndani kiukweli nimeshindwa kurudi kwangu Mafiga kutokana na hii mvua Click to expand... Makofi na masimango yanakuhusu kama mama amunike unae nyumbani.