mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
daah afadhali hzi za bunge,kuna za wcf juzi aiseeh sio poah.kama vijana tunasafari ndefu sana ya fursa na ajira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ana trainng ya NIT ya kuendesha VIP aende (kama ana mahali pa kufikia anyway)kuna jamaa yangu ameitwa kwenye kada ya udereva…nikamwambia ya Mungu mengi ila usichome nauli..
Asichome vipi nauli?kuna jamaa yangu ameitwa kwenye kada ya udereva…nikamwambia ya Mungu mengi ila usichome nauli..
Think out of the boxdaah afadhali hzi za bunge,kuna za wcf juzi aiseeh sio poah.kama vijana tunasafari ndefu sana ya fursa na ajira
Waache waombe mkuu wengine hata hela ya bando kuomba hizo chans hawanaBunge jina, mishahara Kama ya. Halmashauri tu.
Watu 8000 ndo waliochaguliwa kufanya intaviw? Walioomba je?Tume ya utumishi ya bunge ilitangaza nafasi za kazi kwada mbalimbali ambapo watu 8000 ndio walioitwa kwenye usaili katika nafasi 42 za kazi zilizotangazwa.
kada zinazoongoza kwa waombaji ni uchumi, dereva, sheria na uhasibu huku kada zenye waombaji wachache zikiwa ni afya na maktaba.
source:mwananchi
Hiyo ratio sio poaHi habari iko kwenye gazati la nipashe, kama ni kweli hiyo hali anatupa taswira gani katika soko la ajira, hi ni timing bomb kuna haja ya vyuo kubadili mitaala ya hizi zisiokuwa na soko kwenye Market yetu.
======
Tume ya Utumishi ya Bunge imetangaza ajira za kada mbalimbali ambapo walioitwa kwenye usaili wako zaidi ya 8,000 kati ya nafasi za kazi 42 zilizotangazwa, huku kada zinazoongoza kwa idadi kubwa ni uchumi, udereva, sheria na uhasibu.
Kwa mujibu wa tangazo la kuitwa kwenye usaili lililotolewa Mei 19, mwaka huu na Katibu wa Bunge jijini Dodoma, liliorodhesha jumla ya majina 8,476 ya waliovuka hatua va kwanza ya mchujo na kuitwa kwenye usaili kwa kada 21 za ajira kwenye Bunge la Muungano wa Tanzania.
April 21, mwaka huu Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitangaza nafasi za kazi 42 katika kada 21 mbalimbali ili kuim arisha utendaji wake.
Juzi, Bunge lilitoa tangazo lililosomeka: "Katibu wa Bunge, kwa niaba ya Sekretarieti ya Bunge anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia Mei 27, 2023 hadi Juni 03, 2023 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo."
Kwa mujibu wa tangazo hilo, kada zinazoongoza kwa waombaji wengi ni uchumi, sheria, udereva na uhasibu, huku kada zenye waombaji walio chini ya 100 ni afya na maktaba.
Tangazo hilo liliainisha kada hizo na idadi ya walioteuliwa kwenye usaili ikiwa kwenye mabano, ofisa hesabu daraja la II (538), msaidizi wa kumbukumbu daraja la II (279), udereva daraja la I (984), mhandi-si umeme daraja la II (234), ofisa usimamizi wa fedha daraja la II (492), mwandishi wa taarifa rasmi za Bunge darala la II (413), mchumi daraja la II (904), ofisa sheria dara-ja la I (302).
Nyingine ni ofisa Tehama daraja la II (310), msaidizi wa maktaba daraja la II (98), katibu msaidizi wa Bunge daraja la II Sheria (831), katibu msaidizi wa Bunge daraja la II uchumi (1,208), katibu msaidizi wa Bunge daraja la II (afya ya jamii/menejimenti ya huduma za afya) 47
Pia soma: Bunge limetangaza nafasi 42 za kazi kwa Watanzania wasiozidi miaka 45
Si Kama wasiombe, ni mada tu kuchangia.Waache waombe mkuu wengine hata hela ya bando kuomba hizo chans hawana
Inasikitisha, hakuna hata mmoja ya hao atakayepata hizo nafasi, kwa Bunge lililojaa wezi, hata hizo nafasi zimeshaibwa!Hii habari iko kwenye gazati la Nipashe, kama ni kweli hiyo hali anatupa taswira gani katika soko la ajira? Hi ni timing bomb, kuna haja ya vyuo kubadili mitaala ya kozi zisizokuwa na soko kwenye market yetu.
======
Tume ya Utumishi ya Bunge imetangaza ajira za kada mbalimbali ambapo walioitwa kwenye usaili wako zaidi ya 8,000 kati ya nafasi za kazi 42 zilizotangazwa, huku kada zinazoongoza kwa idadi kubwa ni uchumi, udereva, sheria na uhasibu.
Kwa mujibu wa tangazo la kuitwa kwenye usaili lililotolewa Mei 19, mwaka huu na Katibu wa Bunge jijini Dodoma, liliorodhesha jumla ya majina 8,476 ya waliovuka hatua va kwanza ya mchujo na kuitwa kwenye usaili kwa kada 21 za ajira kwenye Bunge la Muungano wa Tanzania.
April 21, mwaka huu Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitangaza nafasi za kazi 42 katika kada 21 mbalimbali ili kuim arisha utendaji wake.
Juzi, Bunge lilitoa tangazo lililosomeka: "Katibu wa Bunge, kwa niaba ya Sekretarieti ya Bunge anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia Mei 27, 2023 hadi Juni 03, 2023 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo."
Kwa mujibu wa tangazo hilo, kada zinazoongoza kwa waombaji wengi ni uchumi, sheria, udereva na uhasibu, huku kada zenye waombaji walio chini ya 100 ni afya na maktaba.
Tangazo hilo liliainisha kada hizo na idadi ya walioteuliwa kwenye usaili ikiwa kwenye mabano, ofisa hesabu daraja la II (538), msaidizi wa kumbukumbu daraja la II (279), udereva daraja la I (984), mhandi-si umeme daraja la II (234), ofisa usimamizi wa fedha daraja la II (492), mwandishi wa taarifa rasmi za Bunge darala la II (413), mchumi daraja la II (904), ofisa sheria dara-ja la I (302).
Nyingine ni ofisa Tehama daraja la II (310), msaidizi wa maktaba daraja la II (98), katibu msaidizi wa Bunge daraja la II Sheria (831), katibu msaidizi wa Bunge daraja la II uchumi (1,208), katibu msaidizi wa Bunge daraja la II (afya ya jamii/menejimenti ya huduma za afya) 47
Pia soma: Bunge limetangaza nafasi 42 za kazi kwa Watanzania wasiozidi miaka 45
Watu walikuwa wengi?daah afadhali hzi za bunge,kuna za wcf juzi aiseeh sio poah.kama vijana tunasafari ndefu sana ya fursa na ajira
compliance officer pekee 5500+Watu walikuwa wengi?
Asichome vipi nauli?
wakamfanyie interview anapoishi au[emoji23][emoji23]
Inafanyika wapi? si amekuwa shortlisted?
Ahahah
Kwahiyo hapo afanyeje?
Nauli siyo kubwa, kama ana cheti cha NIt kuendesha VIP ajaribu bahati yake. changishaneneni maana huwezi kujua bahati iko wapiDodoma na yeye yupo dar…Ndio yupo shortlisted
Hahahahaha 🤣😂🤣😂😄😃😃 my foot. . . . Eti usitumie hisiaMkuu kati ya watu 984 wa kada aliyoomba then wanahitajika watu 6….Kweli ya Mungu mengi ila muda mwingine usitumie hisia tumia akili zaidi.
Acha kabisa!!! Ukikumbuka ulivyopambana na tuition kule mchikichini kwa akina Sir Unga, Moody Physics na Mwl. Hidden daah![emoji22]daah afadhali hzi za bunge,kuna za wcf juzi aiseeh sio poah.kama vijana tunasafari ndefu sana ya fursa na ajira
Hata kama angeajiri asingewamaliza! Sema tu serikali ya akina Mwigulu imekuwa ya hovyo hovyo, haitaki kuinua sekta binafsi ili zote ajira nyingi! Kutengema serikali kwamba iajiri wote haitakaa itokee! Serikali za wenzetu zenye akili zinaboresha sekta binafsi ili zipunguziwe mzigo!Ila Magu kwanini alikua haajiri watu Jamani?!dahh