B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Hahahahahah dereva hana habari anaipa Vidonge tu mpaka mshale ukatike😅 chuma ina vidonge 5 ila dereva anatamani kuongeza cha 6!
Anabaki kuikazia kseleleta tu!
Si bora wawe na Printer tu huko huko Mbalizi, mzigo unatumwa na email toka Dar kule wanaprint.Kwa hyo Leo huko mbeya watu hawajasoma magazeti. Magazeti yanatengenezwa saa ngapi,yanapakiwa saa ngapi, yanatoka dar saa ngapi, na yanafika mbeya saa ngapi?
Wanakuwaga wamefyatuka kidizaini yani af wengi ni vidingi vya makamo. Mzee wa kichaga sikuhio kampa chuma utingo wake ye akalala anamwambia endesha gari dogo alikuwa analemba jamaa alipoamka akarudi mtamboni akaanza kuendesha kweli sasa!Awa madereva wanakuwa wazima kweli
Wanakuwaga wamefyatuka kidizaini yani af wengi ni vibabu vya makamo
GharamaKuna ndege ya kwenda Mbeya saa 12 asubuhi.Kwa nini wasitumie huu usafiri?
Halafu huwa hazirudi zinakaa huko huko mbeya
Kweli jamaa mwongo sana eti mbeya to dar kapanda gari ya magazeti.
Haya ndiyo tunaita mawazo mbadala ambayo waafrika wengi hawataki kuyatumia. Tena angweza kuwepo mtu binafsi anaprint hayo magazeti ktk hizo kanda.Wangeanza kuacha njia za kijima za kusafirisha magazeti ruti ndefu. Wenye magazeti mbalimbali wakishirikiana wanaweza kuwa na printing presses kila kanda.
Mimi sijawahi kusogelea hizo gari, nilijitahidi tu kupanda fuso la Posta... nalo linatembea balaa lakini sio kama hao vichaaMimi nilipandaga moja ilikuwa inaelekea mbeya
Tulipanda na mwenzangu tulikuwa tunawahi
Boda tunduma,mwenzangu alishuka moro
Mm nlimaliza safari lkn cha moto nlikiona
Nkasema sipandi tena
Bora ucheleww lkn ufike safari yako
Ova
Kwani walokufa ni wateja?Kwa kweli nilikuwa nimesahau kama bado kuna wateja wa magazeti hardcopy
Ya saa ngapi mkuuBado kuna watu wanapanda hizo chinja chinja wakati siku hizi kuna new force ya usiku
Ilikua mchana baada ya kupigiwa simu ya mchongo huku darIlikuwa mchana au usiku?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hapo mbona wameendesha mwendo wa kistaarabu
Unaambiwa chombo kikiwa kinapeleka magazeti, ndio unaweza kuomba poo ata msitu wa mdaula wakushushe tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Niamini mimi,zilikua Isuzu pickup,gia sita spidi 240 kama hilux D4D,jamaa akikanyaga gia rotation inafika sita ndio anachange ingine,spidi yao ni hatari mnooo nimepanda zaidi ya mara 10,cha pekee zaidi jamaa wanajua kutunza mafuta aisee diesel wanaiuza inayobaki ndio wanatembelea gia namba 5 na 6 tuuu,ila roho mkononi,tukitoka dar saa 4 usiku mikumi anapita saa 7 kamili yaani jaribu siku 1 ikiwa bahat yako utafika salamaHio distance hapana yani saa 4 usiku ufike mbeya saa 12.30am? Hio gari inatembea speed gani ?
Zile gari zina madereva 2 kila gari na ni wapiga pombe na bangi,fegi sanaaa vioo vipo chini mda wote ukipanda mbele unafika unakohoa vibayaaaSasa wanalala saa ngp
Sasa unadhan wanatembea ngapi?? Mda mwingi mshale upo kwenye 200 km/h hizi nazungumzia zile Isuzu za Mwananchi tena iyo ni mwaka 2013 na 2012 ukoooHio siamini mkuu mbeya mbali bana we! Labda kama wanalazaga mshale 180kph safari nzima
Hata wao nishapiga nao stori sanaaa wanasema ikitokea ajali hatokagi mtu hata siku 1Angalia tu hyo ajali ndo utajua.
Mimi naamini jamaa yupo sahihi.
Mzeee hujakutana na wehu wa magazeti bado,zamaniii nilikua napenda sana racing kuna mtu tuliwekeana dau kutoka ubungo mataa kabla ya hilo daraja to mwenge 25 seconds nikabisha haiwezekani aisee nikaambiwa ingia kwenye gari saa 5 usiku racing ikaanza hatari na nusu jamaa nililia kwa kihoro cha kufa kabisaaa na alitumia 23 seconds.Inashangaza kwa sababu mtu hata uwe na speed kiasi gani huwezi toka dar to arusha bila masaa 5! Hapo brake ni za matuta tu full kibati lazma uta average kwenye 130KPH
Distance: 624.3km
Average Speed: 130Kph
Time. ?
Formula: Time =Distance/speed
Ans: 4.8hrs ~ 5hrs
Dar-Chuga on average speed of 130KPH takes 5hrs.
Magazeti yanatoka saa 4 usiku.Ina maana Dar walitoka saa ngapi hawa jamaa? [emoji41]
Nahisi hii ajali ni aidha dereva alisinzia tokana na uchovu! Kuna wakati mwili unakataa kabisa sema alijitahidi kufosi afike point ambayo hakuweza kuifikia.