Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Alimtoa Monduli anaitwa Dr. Toure alikuwa Dr wa Mkoa wa Arusha sasa amestaafu alikuwa mpinzani wa Lowassa kwenye ubunge Monduli kwa muda mrefu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu, ninakumbuka hili tukio la kutembelewa na rais pamoja na mama Sekoture, nilikuwa primary darasa 3-4. Siku wa ninafahamu kuwa kijana akitoka Monduli lakini ninakumbuka mavazi meupe ya rais na mama Sekoture
Naona unataka tucalculate umri wako...

Alikuja mwaka ganihuyu Sekou Twaa...!??
 
Yuko mount meru hosp ni mmasai aligombea ubunge monduli 2010

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…