Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Bint wa Bab mwenye nyumba ninayopanga Ni mkubwa mtu mzima sna na ajabahatika na pia Ana jeuur na kiburi Cha Hali ya juu saana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan uliona usiponitaja hutaridhika? Haya nambie hapa n nani nilisema ni shoga na sio shoga? Samahani sana huyo Hitler hata sijawahi kumjua na kumfahamu, wala hilo ya yeye kuwa gay sijui.

Wote ambao nikiwataja ujue ni kweli na mwishoe wanaumbuka pia, kaa kwa kutulia, hizo hasira zako muwekee aliyekuambia kuwa kipenzi chako Hitler ni gay,

Unikome msieeeeeew. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndugu sina interest yoyote na Adolf Hitler, kaa na wanazuoni wakueleze na jitahidi kujitafutia maarifa zaidi.

Jisomee sana utaijua vizuri historia yake wala hakuna haja ya kuvunjiana heshima.

Adolf Hitler was homosexual thats all.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan badala ya mmalizane wenyewe anakuja kunivaa mie, lol
 
 
Naona kashanyoosha mikono juu, kwa alivyokuwa na hela ndani na nje ya nchi kadhahangaika sana
Asijali yeye wala asiende mbali wanaume ambao hatutaki mambo ya kulipa ada za shule mara sijui mtoto mvuta bangi tupo hapa anipe chance tuu nimpende tuenjoy maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…