Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.

mtoto wake mmoja wakulea aliwahi olewa na Kasim Hanga. Walizaa watoto wawili, Mmoja yupo U.S na mwengine amepotezwa na Wasiojuulikana hivi karibuni.
 
huyo wa Tyra banks sio wa kujifungua mwenyewe, ni wa surrogate. ni kama adopted child
Tofautisha Surrogate na adopted.
Surrogate ni unatoa mbegu zako wewe mwanamke unatungisha mimba ndani ya chupa kwa mbegu ya mwanamme mwingine ata kama humjui ile mimba anaingiziwa mwanamke mwingine anakuzalia mtot hata kinyume chake yaani mwanaume.Sasa yule mbebaji anaitwa surrogate mother

Adopted unamchukua mtoto asiye wako japo unaweza jua wazazi wake au ni yatima kisha unamlea
 
Kamala Haris
 
Stive Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…