Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Alikuwepo Arushaa ni dk nguli sana

Sifahahamu ss yupo wapi
 
Jaydee na wema wanaweza pata watoto jamani ,

wema bado mdogo ni juu ya nini? kwa mungu hakuna linaloshindikana ipo siku mtashangaa


Wema mdogo, anakaribia miaka 40 yule, huoni sura ile ilivyoyumba....usidanganyike na make ups mkuu?
 
Hahahaaaa [emoji14][emoji14][emoji14] kwamba kiongozi wa Malofa anakuwa ni bwana wa malofa [emoji14][emoji14][emoji14] jamani nyie [emoji23][emoji23] kubwa la malofa ! Nimecheka hadi basi ! Siku ile jamaa sijui aliamkaje aisee?! Hii kitu hadi itoke Kwenye Hansard (vichwani) mwa Watu sijui lini !
Mbwa koko kipigo chake sasa
 
Tujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani.
Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya Bongo. Naanza na hawa:
1. Kamuzu Banda - Rais wa kwanza Malawi
2. Omar Al Bashir - Rais wa Sudan
3. Steven Kanumba

Unaweza ukaendelea na wewe...
Hivi benjamin (mstaafu) anaye mtoto kweli
 
Back
Top Bottom