Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Kuna states ukimtaliki mwanamke, na wewe ukiwa na kipato kikubwa, unatakiwa kulipa kitu kinaitwa alimony.

Yani ni hela fulani ya kumfanya huyo mwanamke aweze kuendelea kuishi kama alivyoishi nawe bila kutetereka.

Kuna sehemu unaweza kutakiwa kumlipa hivyo mpaka anafariki, kama hajaolewa tena.

Na kama mke ana kipato zaidi, yeye anaweza kutakiwa kumlipa mume.

Kwenye case law kuna kesi moja maarufu wanapenda kuitumia Lepes vs. Lepes ya New Jersey State 1980.

Sr. Dre anapelekana puta na mkewe kesi ya kupiga panga mali kwenye talaka.
Wakati mke wa Dre alikuwa mama wa nyumbani. Mke wa Jef Bezos kaotea kawa bilionea kwa mgongo wa taraka na mumewe.
 
Dre hajafikisha hata 1% ya hela ya Bezos.

Bezos kapigwa panga dola bilioni 35 kumpa mkewe kwenye talaka, na bado anaongoza kwa net worth duniani.

Last time I checked alikuwa na over 200 billion USD. Dre hat billion 2 hajafikisha.

Bezos ni ligi ya daraja tofauti kabisa na kina Dre..
 
Kuna states ukimtaliki mwanamke, na wewe ukiwa na kipato kikubwa, unatakiwa kulipa kitu kinaitwa alimony.

Yani ni hela fulani ya kumfanya huyo mwanamke aweze kuendelea kuishi kama alivyoishi nawe bila kutetereka.

Kuna sehemu unaweza kutakiwa kumlipa hivyo mpaka anafariki, kama hajaolewa tena.

Na kama mke ana kipato zaidi, yeye anaweza kutakiwa kumlipa mume.

Kwenye case law kuna kesi moja maarufu wanapenda kuitumia Lepes vs. Lepes ya New Jersey State 1980.

Sr. Dre anapelekana puta na mkewe kesi ya kupiga panga mali kwenye talaka.
mzee kiranga wewe umeoa?
 
Dre hajafikisha hata 1% ya hela ya Bezos.

Bezos kapigwa panga dola bilioni 35 kumpa mkewe kwenye talaka, na bado anaongoza kwa net worth duniani.

Last time I checked alikuwa na over 200 billion USD. Dre hat billion 2 hajafikisha.

Bezos ni ligi ya daraja tofauti kabisa na kina Dre..
Ulinganifu nilioutoa ni kuhusu taraka sio kuhusu net worth.
Mke wa Dre aliomba awe anapewa $2 million per month na mahakama haijakubali. Wakati mke wa Bezos alipokea kwa jumla ya 4% shares za Amazon na amount ya $38 billion.
 
Izo 4% ndio worth yake ilikua 38 billion enzi hizo ambayo kwa sasa imefika 60 billion, ila sio kwamba alipewa 38 B cash
 
1.Mrisho Ngasa
2.Adebayor
3.Alexander the great (Shah Alexander wa macedoni/shah asia)
 
Tujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani.
Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya Bongo. Naanza na hawa:
1. Kamuzu Banda - Rais wa kwanza Malawi
2. Omar Al Bashir - Rais wa Sudan
3. Steven Kanumba

Unaweza ukaendelea na wewe...
Yesu
 
Alirudi Tanzania baadae nilimuona miaka mingi akihojiwa alikuwa daktari pale Mount meru hospital anaitwa hivyo hivyo Dr. Sekou Toure.
Sijajua kwa sasa kama bado yupo pale ama la.
Ngoja nimsake youtube
 
Back
Top Bottom